Kuna maafa makubwa huko Israel!

 
Baada ya kusoma maoni ya huyo billionea mwenye asili ya Israel hapo juu. Bado namashaka na uwezo wa Israel juu ya kukabiliana na Iran. Nadhani sasa kwa vile Iran "Kadhoofishwa" kama anavyosema yeye wanaweza mmaliza bila msaada wa aina yeyote kutoka USA. Lakini kama Bado wanahitaji msaada na mashaka na uwezo wao.
 
Ngoja tuone kama Iran ni Hizbollah au ni Houth. Israel aache kuomba misaada ya western sasa atulie apigane. Yeye si anajidai kidume hapo middle east?

Mwanaume umeanzisha vita mwenyewe halafu ukianza kupigwa unaita majirani wakusaidie. What a shame!
Kanchi kenyewe kadogo kama ukubwa wa Mbagala rangi 3 lakini Kila siku wao wanaleta vurugu....hyu Mzee wa Iran akae pembeni kidogo aziachie damu changa zilizokula mirungi zifanye kazi.....lugha pekee inayotambulika na kueleweka kwa taifa teule ni kula makonzi ya utosi....wanatakiwa wadundwe mpk next time wakifikiria kufanya ujinga Tena wasiwe hata na hamu ya kufanya
 
THAAD MY FOOT
 
Ole wake nisikie mtu anasema PRAY FOR israel.
 
Maafa Iran ni makubwa sana ni kwakua Iran huruhusiwi kupiga picha na hakuna internet
Ni sawa tu si ndio vita ilivyo. Ukipiga unapigwa. Huko Iran tunajua kuna maafa ila Israel hajazoea neno maafa. Ndio mana tunafurahi kuona maafa ya Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…