silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,538
- 2,238
Yap. Apo umeamua vyema. Umri wako bado mdogo usiharibu maisha yakoNaondoka mkuu, nina kwangu pia.
Yap. Apo umeamua vyema. Umri wako bado mdogo usiharibu maisha yakoNaondoka mkuu, nina kwangu pia.
Bongo tu hapa mkuu
😳Mimi tena?? Ehh haya bwanaDume linajivika kidubwasha. Inaelekea unapenda kuwafanyia wadada wa watu haya mambo eehe?
Nipishe huko na wewe, umekariri tu maishaLipia tangazo.
lipia tangazo.Nipishe huko na wewe, umekariri tu maisha
Kwa muda muliokaa unaweza kimwambia chochote, wakati wowote, ila wewe unaogopa atakuacha ndio tatizo! Badili mtazamo Mdada kwani hata akikuoa bado mtaro utafukuliwa tu! Fanya maamuzi magumu kwa kumwambia unaenda kumshitaki kwa kukuahidi ndoa na yeye hakuoi, atakulipa fidia kwa kipindi cha miaka yote 3, kwani kiserikali huyo ni mumeo na unapaswa kumrithi akifariki. Zinduka Mdada, fanya maamuzi magumu juu ya maisha yako kabla haijawa too late.Wakuu habari zenu humu,
Nina huyu Bf wangu tuna muda mrefu pamoja, yeye umri umeenda kidogo maana ni 40+ na mimi nakaribia 30. Nilimpenda huyu baba sana naye alinipenda na nilijua atanioa. Basi nikimpa mapenzi motomoto, nilijituma kweli kweli, yaani kwenye 6x6 nilihakikisha anaridhika kabisaa, na hapa ndio nikajikuta nampenda mpaka nikakubali kuliwa mpaka michezo ya nyuma na anapenda sana hayo mambo, sikuona shida maana nilijua ndio mume wangu huyu.
Sasa tupo pamoja huu mwaka 3, sioni dalili yoyote ile, hata kwao hajanipeleka zaidi ya kuwa namjua kaka ake mmoja tu. Mama yake yupo ila baba yake alishakufa. Hata nikijisemesha semesha kuhusu future yetu wala hachangii sana na atabidili mada fasta. Sasa mimi nimechoka kwa kweli, zaidi naona ananitumia tu na hiki kupindi cha Corona basi nakoma mimi, (maana kwa sasa sina kazi kwa hiyo nipo hapa kwake kwa muda huku naangalia michongo mingine) maana bar haendi tena basi akirudi tu nyumbani yaani yeye anataka tu mapenzi tu, kabla hatujala, baada ya kula, tukiwa tunaangalia movie, yaani kifupi muda wote yeye anataka tufanye tu na huo mchezo wake wa nyuma ndio nachoka kabisa.
Ki ukweli nimeanza kuchoka haya maisha na ukimnyima mchezo ni ugomvi au kununiwa haswa. Sasa nawaza tu huyu mtu atanioa kweli ama ananitumia tu hapa? Natamani kumuuliza ila naona kama ataniona labda nampendea ndoa tu, ile je yeye anavyonitumia ni sawa? nimechoka jamani.
Naombeni ushauri jamani
Nina akiba kidogo, kuna kazi nafukuzia pia sehemu. Nina sehemu yangu pia. Nina taaluma yangu pia. Sema ndoa ndio nilikuwa nafukuzia hapa. Nashukuru kwa ushauriSiku zote ulizofanya kazi ulikuwa huweki akiba? Kuanzia sasa jifunze kuweka akiba yako ya hela kwa sasa ingekusaidia kuliko kulala na mwanaume kwa sababu ya chakula tu hata kodi huyu mwanaume hakulipii, kingine hakupi hela ya matumizi? Angalau uwe unatunza, nina miaka 30+ sina haraka na ndoa ikija sawa isipokuja sawa ila najua ipo itakuja, hamna kitu kinaniuma kama kulala kwa mwanaume, siku zote nawaambia nakaa nyumbani kwa wazazi mtu anabaki kushangaa, mbona mkubwa hivyo majibu wazazi hawataki niondoke, kwa hiyo swala la kulala kwa mwanaume halipo, hata akikuoa huyu mwanaume utateseka maisha yako yote
Una elfu kumi apo ya karibu nikupige msasa kiswahil chako??Kiswahili kinanisumbua anyways. You as a woman you set standards of how a man will treat you. What you allow is what will continue. Kama siku ya kwanza ulimpa ili kumfurahisha ndo uliaribu hapo. Sasa we endelea tu. Ikiwezekana akuoe kabisa.
Huyu ni bf tu sio mume, hiyo miaka mitatu kila mtu anakaa kwake mkuu. Hajawahi niahidi ndoa ila mi ndio nilikuwa naitafuta kwake.Kwa muda muliokaa unaweza kimwambia chochote, wakati wowote, ila wewe unaogopa atakuacha ndio tatizo! Badili mtazamo Mdada kwani hata akikuoa bado mtaro utafukuliwa tu! Fanya maamuzi magumu kwa kumwambia unaenda kumshitaki kwa kukuahidi ndoa na yeye hakuoi, atakulipa fidia kwa kipindi cha miaka yote 3, kwani kiserikali huyo ni mumeo na unapaswa kumrithi akifariki. Zinduka Mdada, fanya maamuzi magumu juu ya maisha yako kabla haijawa too late.
Mwambie akupatie pesa uachane nae, pesa ya fidia na akigoma mdharirishe kwa kumshitaki kuwa kaharibu usichana wako na kamwe huwezi olewa tena kwa hali iliyonayo.
Sheria zipo, ila tatizo ni nyie wenyewe mnaogopa kuzitumia.... Ukicheka na nyani?..........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugomvi wenu mnakuwa mnaufanyia wapi.Fursa hiyo ufanyieni ukumbini watu tuingilie pesa.Coz najaribu kupata picha jamaa anapokuwa anagomba anakuwa anasemaje....hata mie ningekuwa mbaba ningegombana mwanzo unipe from no where unibanie.Anyway Mimi nashona marinda Kama utahitaji utanijuza nikitoka kujifukiza mipera nipasue virus vya Covid.Na hili ndio tatizo, toka mwanzo nilimkubalia na tuliendelea hivyo ila sasa sitaki tena, nikimwambia wala hanielewi kabisa, ugomvi sio wa kawaida yaani.
Tulia kwa sasa fikiria maisha yako, badirisha style ya maisha yako tumia robo ya unachokipata, ukiondoka hapo jifunze mwanaume usilale kwake wala kuhamia utachoka mapemaNina akiba kidogo, kuna kazi nafukuzia pia sehemu. Nina sehemu yangu pia. Nina taaluma yangu pia. Sema ndoa ndio nilikuwa nafukuzia hapa. Nashukuru kwa ushauri
naomba kukuuliza kwanza wewe mtu maana hata kukuita mkuu haiswii kabisaaaa ,wakuu gani wanafanya usssenge huu?Mimi tena?? Ehh haya bwana
Maisha haya ayseee.Mhh umenielewa kweli? Mimi nahitaji ndoa tu
Jiheshimu ndugu
Aaahh hawa ni kuniwambia tu, shida ni wanavyojitoa ufahamu .Nyeupe tuseme Nyeupe.....Nyeusi tuseme nyeusi.
Yaan penye kunyooka ,tunyooke tu, tusipindishe pindishe mambo kwa vimaneno vya kupambapamba ..ohooooo unajua shida sio nyinyi wanawake, ohoooo shida ni wanaume ,ohoooooo nn Hahahhaha hahahahahaha
Full stop .
Sent using Jamii Forums mobile app




Wewe sio mnafki hakika