Kuna kuolewa hapa kweli?

Kuna kuolewa hapa kweli?

You can definately be defined as sex lab for sex research that your BF has discovered, nakuambia huto acha maana ashakutia ulemavu na kila utakaye mpata atakuacha kwa kuharibiwa rectum mechanism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Dada ila naomba niseme kitu hapa hasa kwa akina Dada,

Jamani ukiwa na mtu wako epuka sana tabia ya kuhamia nyumbani kwa mwanaume na ukaanza kujihisi ni mama mwenye nyumba epukeni sana....

Huwa nafika pahala napata hasira kwasababu inafika wakati mtu wako sahihi katika maisha yako unamkosa si kwasababu haujui ni kwasababu umeweka nguvu kubwa tena kwa mwanaume asiyetambulika popote.....

Dada naamini bado nafasi unayo ya kubadili changamoto unazozipitia kuwa neema na amani kwako na kwa yeyote pia, kuwa na msimamo na mtengenezee mazingira ambayo yatakufanya aamini wewe ni bora kwake tena mara Elfu au zaidi ya hapo, pia muwekee mazingira ambayo ataamini kuwa unaweza ishi bila yeye.....

Mimi naamini hasa vijana tunawajibu wakuzilinda heshima tulizo nazo hasa kwa akina Dada, kuna katabia ka sisi wanaume baadhi, kachafu sana kuwa na mwanamke ndani ambaye hutaki kumuweka wazi zaidi unamfanya utakavyo unamkunja utakavyo na kumfanya kuwa chombo cha starehe huku mwenye malengo naye ukimficha pembeni

Dada pole, ila naamini unaweza rekebisha na kubadili stori yako ya maisha kwasasa.... Usiogope kuanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app

Mi wangu nilimuuliza vipi baba mambo yanasomeka au nijipange akaniweka wazi kabisa hakuficha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
Yani hapo hakuna namna na sidhani kama utampata mwanaume ambae anataka mwanamke alietumika sehemu zote labda itokee kama bahati...ila endelea kuvumilia tu maana waswahili husema ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge
 
Umeeleweka
Wewe bwana embu kua serious.

Watu wamekushauri weee, lkn naona respond yako kwa wanaokushauri kuacha ni ndogooo.

Sasa niivi, Unataka kuacha au Unataka kuendelea??

Kama unania ya kuacha ACHA na Fanya ulivoshauriwa.

Kama huna nia ya Kuendelea, Endelea mwili ni wako, Tgo niyako .

Mambo mengine madogo lkn mnayafanya kua magumuuu !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
Unaona sasa ???

Huu ndo utopolo wenyewe naosema..

Oyaa , Huyu MTU anawachora tu, kwake Kuanza upya ni Ujinga.

Na atampata wapi wakumpa vile anavyopata ???.

Huyu bwana ,ni ama Mwanaume... Au Mwanamke lkn Anatangaza Biashara.

Ila kama ni mwanamke, Endelea kuliwa, Ila uliwe ukiwa tayari umeshazaa watoto.

Si wanawadanganya et ohoooo unazaa tu??

Sasa ndo utakua unasukuma , kinyesi tu na upepo ndo unatoka....

Mwisho utaletwa Tukupige Kisu, na siku izi Mnapenda sana visu !!.

Siku mnavikauli vyenu.... (mi kuzaa bado saaaaaaana,... Kuzaa sina mpangooooo )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bwana embu kua serious.

Watu wamekushauri weee, lkn naona respond yako kwa wanaokushauri kuacha ni ndogooo.

Sasa niivi, Unataka kuacha au Unataka kuendelea??

Kama unania ya kuacha ACHA na Fanya ulivoshauriwa.

Kama huna nia ya Kuendelea, Endelea mwili ni wako, Tgo niyako .

Mambo mengine madogo lkn mnayafanya kua magumuuu !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu nimejibu wengi na nimeshukuru kwa ushauri. Na nimeshasema nimeacha. Sasa natakiwa kufanya nini labda ili nionyeshe kujuta?? Nakushukuru pia
 
Rudi kwa Mungu wako, piga magoti sali, mwambie umetubu na umeacha dhambi iyo, nakwamba akupe nguvu na uwezo wa kuhimili Maisha bila ya kua Nahiyo Firauni.
Ndugu nimejibu wengi na nimeshukuru kwa ushauri. Na nimeshasema nimeacha. Sasa natakiwa kufanya nini labda ili nionyeshe kujuta?? Nakushukuru pia
Hauna cha kufanya ili ujijutishe, Na usije kujaribu kujijutisha, in fact nikikukuta unajijutisha nitakutia Makofi ambayo hujawahi Pigwa tokea uzaliwe.

Rudi kwenu , hakikisha umejitenga mbali naye , Kwenu hawajakufukuza, rudi kwenu, yapambanie maisha yako ukiwa kwenu,.. Usiitafute Ndoa kwa nguvu zako na akili zako.

Wacha ndoa nikutafute yenyewe kwa nguvu zake na akili zake.

NASISITIZA, HUYO HATAKAAA AKUOE....

WEWE UTAOLEWA NA MWANAUME MWENGINE ASOKUJUA... SASA BADILIKA ILI USIJE KUMPA TABU MUMEO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwa Mungu wako, piga magoti sali, mwambie umetubu na umeacha dhambi iyo, nakwamba akupe nguvu na uwezo wa kuhimili Maisha bila ya kua Nahiyo Firauni. Hauna cha kufanya ili ujijutishe, Na usije kujaribu kujijutisha, in fact nikikukuta unajijutisha nitakutia Makofi ambayo hujawahi Pigwa tokea uzaliwe.

Rudi kwenu , hakikisha umejitenga mbali naye , Kwenu hawajakufukuza, rudi kwenu, yapambanie maisha yako ukiwa kwenu,.. Usiitafute Ndoa kwa nguvu zako na akili zako.

Wacha ndoa nikutafute yenyewe kwa nguvu zake na akili zake.

NASISITIZA, HUYO HATAKAAA AKUOE....

WEWE UTAOLEWA NA MWANAUME MWENGINE ASOKUJUA... SASA BADILIKA ILI USIJE KUMPA TABU MUMEO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu🙏🏿
 
Aisee duh, umenifanya nitokwe chozi.
Nashukuru sana sana. Naamini sijashindwa bado, naaamini kabisa kabisa. Akiba ninayo kidogo na yeye ananipa nipa na huwa nasave. Ujue nilikuwa najua huyu ndio mume wangu, sasa nilipoona vitu haviendi vile niliwaza ndio nikaja kuomba ushauri kujua nakwama wapi. Hayo mengine nilishaacha kabisa.

Kama nilivyosema toka mwanzo hapa sikuja kuweka kambi wala, nina kwangu. Nitaondoka kwenda kukaa kwangu.
Nashukuru pia kutaka kunisupport. Wacha nifanyie kazi haya.
Nashukuru kwa kunielewa dada and Yes jitahidi dada angu wanaume wenyewe ndio sisi sio wote tunajali hisia zenu...when you are ready just nitag hapahapa namba ya wakala haitaexceed 10 minutes nitakujazia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Dada ila naomba niseme kitu hapa hasa kwa akina Dada,

Jamani ukiwa na mtu wako epuka sana tabia ya kuhamia nyumbani kwa mwanaume na ukaanza kujihisi ni mama mwenye nyumba epukeni sana....

Huwa nafika pahala napata hasira kwasababu inafika wakati mtu wako sahihi katika maisha yako unamkosa si kwasababu haujui ni kwasababu umeweka nguvu kubwa tena kwa mwanaume asiyetambulika popote.....

Dada naamini bado nafasi unayo ya kubadili changamoto unazozipitia kuwa neema na amani kwako na kwa yeyote pia, kuwa na msimamo na mtengenezee mazingira ambayo yatakufanya aamini wewe ni bora kwake tena mara Elfu au zaidi ya hapo, pia muwekee mazingira ambayo ataamini kuwa unaweza ishi bila yeye.....

Mimi naamini hasa vijana tunawajibu wakuzilinda heshima tulizo nazo hasa kwa akina Dada, kuna katabia ka sisi wanaume baadhi, kachafu sana kuwa na mwanamke ndani ambaye hutaki kumuweka wazi zaidi unamfanya utakavyo unamkunja utakavyo na kumfanya kuwa chombo cha starehe huku mwenye malengo naye ukimficha pembeni

Dada pole, ila naamini unaweza rekebisha na kubadili stori yako ya maisha kwasasa.... Usiogope kuanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact mkuu kuishi na mtoto wa watu bila ndoa sio sahihi na tunafukuza baraka zao na za kwetu pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom