Kuna kuolewa hapa kweli?

Kuna kuolewa hapa kweli?

Pole sana, usiikimbilie ndoa, kadri unavyoikimbilia na yenyewe inazidi kuongeza kasi. Tuliza akili sahau kuhusu ndoa sahau kuhusu mapenzi. Umesha jikwaa umeanguka Sasa nyanyuka na uanze Safari upya ila badili uelekeo kwa muda focus na vitu vingine nje ya mapenzi na ndoa.
Jipe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante🙏🏿
 
labda pengne ni muda muafaka wa kumuweka kitako na mkajadili kuhusu hili,tena umuombe tu awe muwazi.usiogope kuzungumza nae sababu hili swala ni la maisha yako.
Tatizo mi mkorofi hapo ataanza kunitukana adhani nina mtu, huyu nampangia njia tofauti kabisa ya kumuacha. Kwanza nikiwa sawa nitahama eneo ninalokaa halafu nimmwache. Ila kusema tujadili kiundani kabisa atajifanya hajisikii kuongea au atanigeuzia kibao
 
Nishaleta sana hizo mada ila anachenga chenga. Kwa kweli naona nikikaa sawa kiuchumi nammwaga. Ila hili libaba nilikorofi sana yaani natafuta mbinu. Hata ninapokaa nihame kabisa
Maisha magumu kweli haswa msimu huu.... Usijionee aibu kurudi kwenu na kuanza upya kuliko kujidhalilisha... Na Ukisha muacha tuliza akili utafute hela zako mwenyewe sio tena ukaponzeke kwa mwingine kwa ahadi za ndoa. Ndoa ni majaliwa sio sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume mwenye nia ya kukuoa hawez kukuomba nyuma, hawez kukutumikisha kingono bali atakuheshimu na kukuthamini.

Kabla hujaharibikiwa zaidi hebu fanya maamuzi ya busara kuondoka hapo kwake na kuvunja huo uhusiano.
 
Umewahi muuliza mambo ya ndoa kasemaje.... Afu watu wa 40years bila kuoa.. Alafu hana sababu za msingi kama ugonjwaa, ndoa ya awali kuvunjika, au kufiwa na mke..... Huyo ujue chizi..... Hutafanya la maana.... Afu nyie wadada bana..... Wanaume ambao hawaeleweki ndio mnazimika kwao balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiongelea future analeta chenga, mi namcheck ila kupitia humu nimefunguka mengi sana. Nitaondoka then nimuache kabisa
 
Mwanaume mwenye nia ya kukuoa hawez kukuomba nyuma, hawez kukutumikisha kingono bali atakuheshimu na kukuthamini.

Kabla hujaharibikiwa zaidi hebu fanya maamuzi ya busara kuondoka hapo kwake na kuvunja huo uhusiano.
Asante ndugu
 
Umewahi muuliza mambo ya ndoa kasemaje.... Afu watu wa 40years bila kuoa.. Alafu hana sababu za msingi kama ugonjwaa, ndoa ya awali kuvunjika, au kufiwa na mke..... Huyo ujue chizi..... Hutafanya la maana.... Afu nyie wadada bana..... Wanaume ambao hawaeleweki ndio mnazimika kwao balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunajua kugegeda na kuzibua mitaro sii unaona huyo kanogewa.... Chezea mwanaume fundi wakutoa utamu wewe
 
Wewe ni wa kike au wa kiume?

"Not everything is for everybody"
 
Jana umetoka kusema kuwa unataka kumuacha,leo unauliza kama atakuoa!
endelea kujituma tu,ukiambatanisha na picha itapendeza.
 
Kuna wapuuzi watamuendea pm.
Nakuambia wengi sana.
Na hili ndo lengo lake
Mhh wewe waonekana mtatifu sana. Ubarikiwe.
Sihitaji mtu yoyote yule humu. Nilikuwa naeleza shida yangu naona watu mmekariri sana jamani kha!
 
Back
Top Bottom