T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Siumwi lakini, yaani nipo sawa kwa sasaPole sana, nahisi kuna hospital zipo ukienda wataenda kukusafisha huo mgongo...tubu weka nadhiri ya kutorudia then utapata potential Hubby
We ndio unamjua?? Huyu sio labda kama alikuwaga na akanificha. Ila kwa sasa nipo naye fullUpo na mume wa mtu hujui tu
MKUU HUYO BF WAKO HAKUPATII VIZURI,,,,,njoo PM TUPANGE YETU....wachana nae,,,,,CHOO hakitaki PAPARA MKUU,,,,.hapa nilipo USHANITENGUA UDHU MKUU, ,,,,Ki ukweli nimemchoka huyu BF wangu, yeye hawezi fanya mapenzi bila kunila choo, ananiudhi sana.
Nimechoka kwa kweli, mwanzo nilikuwa naona poa na nilikuwa naenjoy ila sasa wala sifurahi tena, nikimnyima tu ni ugomvi mkubwa yani, ki ukweli nataka kumuacha maana huu mchezo umenichosha.
Huyu mtu ni katili sana na ananitishia. Nalifanyaje hili baba jamani?
biashara hiyo mkuu nahili ni tangazo wanaomuelewa washamfuata hukoHuoni hata aibu mleta mada...si ungemkatalia huko huko ndani.
We naye nipishe huko, wakiume nani?Mtoto wa kiume unajiskiaje kuvaa uhusika wa kike na kushusha thread kama hii?
Sent using GunTrigger
Tangazo la nini tena, nimeeleza ninachopitia tu mkuuHuyu member ni member mzoefu humu ndani sema tu katumia new I'd ili atoe dukuduku lake au atangaze tangazo lake
Tangazo la nini tena, nimeeleza ninachopitia tu mkuu
Profile inaonyesha umejiunga jana....but i can tell una ID kongwe, hii ni ya kutuletea janga lako hili.
Mdogo wangu kwa umri ulo nao late 20s upo desparate kuolewa na huyo "mbaba boyfriend " kesha kusoma so anatumia desperation yako kukutumia na kukuharibu kwasabu huna akili.
Huna akili ulifikiri kutoa nyuma ndo ticket ya ndoa? Ulifikiri playing wifey na kuishi nae ndo atakuoa?
Pole sana ila hatakuoa....Narudia tena HATAKUOA.
Na kama una akili hata chache zilizobakia kusanya vyako ondoka na usigeuke nyuma. Ukikaa zaidi ataendelea kukuharibu ukijashtuka utakua huna breki nyuma na siku ataleta binti fresh anaejielewa akutimue wewe ukiwa ushaoza hufai kuolewa hata kwa mahari ya kilo ya sukari.
Halafu ye mwenyewe ana walakini mtu wa 40+ hajaoa???Umemchunguza vizuri kweli?Hajaacha familia kijijini huyo? Mlipima afya kweli???
Naogopa kwa ajili yako mdogo wangu...pack your stuff and leave it's not late to start over.
Sent using Jamii Forums mobile app
labda pengne ni muda muafaka wa kumuweka kitako na mkajadili kuhusu hili,tena umuombe tu awe muwazi.usiogope kuzungumza nae sababu hili swala ni la maisha yako.Kwa mantiki hiyo huyu hanifai japo la kuwa na ndoa sidhani
Unaishi nae kwasasa? Ndugu zako wanafahamu?Ki ukweli najuta, na nimeanza kumnyima pia. Ndoa ipo hapa kweli?
Unaonekana unastress sana, huwezi kuongea hivyo ukiwa upo sawa au ukiwa na amani. Hii inaonyesha kabisa ndani yako kuna mkorogano wa mambo, pole sana.Malaya mkubwa wewe umelaaniwa kafie mbele
Jishughulikie kwanza maisha yako ndugu, uweze kuwa sawa. Alikuambia mimi ni wa hivyo nani? Aisee pole sanaShoga hili sema nini? Mods watafute namna ya kuwa screen mashoga wanatuchafulia jukwaa. Ndio maana covid inazidi kupaa.
Umewahi muuliza mambo ya ndoa kasemaje.... Afu watu wa 40years bila kuoa.. Alafu hana sababu za msingi kama ugonjwaa, ndoa ya awali kuvunjika, au kufiwa na mke..... Huyo ujue chizi..... Hutafanya la maana.... Afu nyie wadada bana..... Wanaume ambao hawaeleweki ndio mnazimika kwao balaaWakuu habari zenu humu,
Nina huyu Bf wangu tuna muda mrefu pamoja, yeye umri umeenda kidogo maana ni 40+ na mimi nakaribia 30. Nilimpenda huyu baba sana naye alinipenda na nilijua atanioa. Basi nikimpa mapenzi motomoto, nilijituma kweli kweli, yaani kwenye 6x6 nilihakikisha anaridhika kabisaa, na hapa ndio nikajikuta nampenda mpaka nikakubali kuliwa mpaka michezo ya nyuma na anapenda sana hayo mambo, sikuona shida maana nilijua ndio mume wangu huyu.
Sasa tupo pamoja huu mwaka 3, sioni dalili yoyote ile, hata kwao hajanipeleka zaidi ya kuwa namjua kaka ake mmoja tu. Mama yake yupo ila baba yake alishakufa. Hata nikijisemesha semesha kuhusu future yetu wala hachangii sana na atabidili mada fasta. Sasa mimi nimechoka kwa kweli, zaidi naona ananitumia tu na hiki kupindi cha Corona basi nakoma mimi, (maana kwa sasa sina kazi kwa hiyo nipo hapa kwake kwa muda huku naangalia michongo mingine) maana bar haendi tena basi akirudi tu nyumbani yaani yeye anataka tu mapenzi tu, kabla hatujala, baada ya kula, tukiwa tunaangalia movie, yaani kifupi muda wote yeye anataka tufanye tu na huo mchezo wake wa nyuma ndio nachoka kabisa.
Ki ukweli nimeanza kuchoka haya maisha na ukimnyima mchezo ni ugomvi au kununiwa haswa. Sasa nawaza tu huyu mtu atanioa kweli ama ananitumia tu hapa? Natamani kumuuliza ila naona kama ataniona labda nampendea ndoa tu, ile je yeye anavyonitumia ni sawa? nimechoka jamani.
Naombeni ushauri jamani
Unikome wewe, mtu hawezi sema shida yake? Mbona mnakariri? Hivi we ni malaika? Hujawahi kukosea wewe? Mnakera sanakwa hiyo hauna marinda, mtaro umefukuliwa tayari, tangaza na bei kabisa