Kuna kuolewa hapa kweli?

Kuna kuolewa hapa kweli?

Pole sana, nahisi kuna hospital zipo ukienda wataenda kukusafisha huo mgongo...tubu weka nadhiri ya kutorudia then utapata potential Hubby
 
Hakuna narudia HAKUNA mwanaume wa kuoa mtu anayeliwa tigo , hata kama kakufundisha yeye.
Wewe utakuwa kipozeo tu lakini mke wake atamheshimu na hatamuomba tigo hata siku moja..

Wewe endelea kugawa tigo tu ...na mimi nikipata hela baada ya hii koona ntakuja PM
Nimesema sifanyi tena, wala usihangaike
 
Hujitambui,hujiamini naamini huyo Mwanaume amegundua udhaifu wako na anakuchezea. U
meandika kwamba "Nitaishi vipi kipindi hiki sina kazi" kabla yake ulikuwa ukiishi vipi mpendwa kesho yako anajua Mungu na si binadamu.
Nilikuwa na kazi yangu. Hata hivyo ndio napambana nikae sawa kiuchumi nitoke kwake. Asante kwa ushauri
 
Sipendi na sikupenda. Pombe iliniponza. Nafanya mipango hiyo japo ni changamoto
Pombe gani hiyo mwali?! Siku ya kwanza tu mbele kunauma, we huko nyuma ulishindwa vipi kushtuka?!!
Alijisemea Bonny pombe inakuonesha tabia zako halisi tu. Sasa wewe hapo tabia yako ni kutokujitambua. Hujui kipi cha kusema yes/no.

Kuna mdada insta anajiita maisha halisi emu kamcheck ukachukue ushauri wake pia na ukiongeza na wa hapa upate ujasiri wa ku move on....
 
PuraVida_Fire unaonyesha uko desparate sana kwa ajili ya ndoa. Unavyosikitika kua humuelewi hakuna ndoa....
Ulishawahi kuona mtu amekufa kwasabu hajaolewa?
Alishawahi ona mtu amekatika mkono au mguu kwasabu hajaolewa?
Ndoa ambayo upo tayari kudhalilisha utu wako ili uolewe sio ndoa .
Pambana na maisha yako jijenge, take care of yourself move one na ndoa itakufata when your not looking for it. Utapata mtu anajua thamani yako


Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa ushauri
 
Sasa atafanyaje? 😂😂😂 katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra
Mimi sihitaji bikra mkuu

Bikra is a state of mind
 
Pole sana Mkuu, ..uko ulikojiingiza Ndio basi tena maana saiv Utakuwa unawashwa Sehm mbili nyuma na mbele...
Na sahau kitu Heshima kutoka kwa mwanaume yeyote Dunian.
Maamuzi yoyote lazima yakuumize,so usiogope kuumia,fanya maamuzi kwaajili yako nasio kwaajili yake...Wape nafas wengine
Asante, nafanyikia kazi ushauri wenu. Lakini unataka kuniambia sitapata mwanaume mwingine? Na kwa kuwa siwashwi huko kwingine nikimpata mwingine siwezi kubali tena hayo mambo na sitamwambia kama niliwahi kufanya hayo.
 
Umenifikirisha sana, kama alikuwa nayo ndio maana labda hataki kunioa? Aisee
mwanamme yeyote ambaye alishawahi kuoa na kupata matatizo kisha hiyo ndoa kuvunjika ni ngumu sana kuingia katika ndoa nyingine mpya..atashia kuchezea tu wanawake..labda mpaka muda uende sana ndio anaweza kuja kufikiria tena kurudi katika ndoa.
 
Mtoto wa kiume unajiskiaje kuvaa uhusika wa kike na kushusha thread kama hii?

Sent using GunTrigger
 
Mhh umenielewa kweli? Mimi nahitaji ndoa tu
Sasa dada hapo ushaharibu. Ndoa utauskia tu. Kuna kitu kinaitwa leverage. Yani huwezi kufanya deal yoyote mpaka uwe na hiyo na hata ukifanya negotiations na ukapata anachotaka utapata hasara zaidi ya faida. Marriage is like a business deal. Unaelewa? Sasa cha msingi hapo achana na huyo bwana tafuta mwingine anza upya. Sahihisha makosa yako yaliopita. Hakikisha this time around you don't lose your Leverage.
 
Pombe gani hiyo mwali?! Siku ya kwanza tu mbele kunauma, we huko nyuma ulishindwa vipi kushtuka?!!
Alijisemea Bonny pombe inakuonesha tabia zako halisi tu. Sasa wewe hapo tabia yako ni kutokujitambua. Hujui kipi cha kusema yes/no.

Kuna mdada insta anajiita maisha halisi emu kamcheck ukachukue ushauri wake pia na ukiongeza na wa hapa upate ujasiri wa ku move on....
Nashukuru
 
Pole sana huyo hawezi kukuoa, he is using you, hivi wanawake mna nini,hata kama siku ya kwanza ulikuwa umelewa, ya pili na ya tatu ilikiwaje, hii si inaonyesha kuwa nawe unapenda huo mchezo mchafu. Wanaume wote huwa hawawezi kuwaoa wanawake wanaotoa mtandao pendwa,wanawake wa hivyo ni wa kuchezea tu, fanya mpango uondoke hapo u move onè

Sent
 
Back
Top Bottom