Kuna kuolewa hapa kweli?

Kuna kuolewa hapa kweli?

Pole sana,ila ukweli ni kwamba huyo mwanaume mke alienae kichwani ni yule ambae hajaingiliwa nyuma...Hivi dada zetu kwanini mnarubunika kirahisi hivyo? Kisa kakuonesha kukupenda et na wewe unamkubalia kumpa mpka sodoma, vipi kama kuomba huo mchezo kwake ndo kulikua ni kipimo cha kuona kama una msimamo kama mwanamke?
 
Profile inaonyesha umejiunga jana....but i can tell una ID kongwe, hii ni ya kutuletea janga lako hili.
Mdogo wangu kwa umri ulo nao late 20s upo desparate kuolewa na huyo "mbaba boyfriend " kesha kusoma so anatumia desperation yako kukutumia na kukuharibu kwasabu huna akili.
Huna akili ulifikiri kutoa nyuma ndo ticket ya ndoa? Ulifikiri playing wifey na kuishi nae ndo atakuoa?
Pole sana ila hatakuoa....Narudia tena HATAKUOA.
Na kama una akili hata chache zilizobakia kusanya vyako ondoka na usigeuke nyuma. Ukikaa zaidi ataendelea kukuharibu ukijashtuka utakua huna breki nyuma na siku ataleta binti fresh anaejielewa akutimue wewe ukiwa ushaoza hufai kuolewa hata kwa mahari ya kilo ya sukari.
Halafu ye mwenyewe ana walakini mtu wa 40+ hajaoa???Umemchunguza vizuri kweli?Hajaacha familia kijijini huyo? Mlipima afya kweli???
Naogopa kwa ajili yako mdogo wangu...pack your stuff and leave it's not late to start over.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu humu,

Nina huyu Bf wangu tuna muda mrefu pamoja, yeye umri umeenda kidogo maana ni 40+ na mimi nakaribia 30. Nilimpenda huyu baba sana naye alinipenda na nilijua atanioa. Basi nikimpa mapenzi motomoto, nilijituma kweli kweli, yaani kwenye 6x6 nilihakikisha anaridhika kabisaa, na hapa ndio nikajikuta nampenda mpaka nikakubali kuliwa mpaka michezo ya nyuma na anapenda sana hayo mambo, sikuona shida maana nilijua ndio mume wangu huyu.

Sasa tupo pamoja huu mwaka 3, sioni dalili yoyote ile, hata kwao hajanipeleka zaidi ya kuwa namjua kaka ake mmoja tu. Mama yake yupo ila baba yake alishakufa. Hata nikijisemesha semesha kuhusu future yetu wala hachangii sana na atabidili mada fasta. Sasa mimi nimechoka kwa kweli, zaidi naona ananitumia tu na hiki kupindi cha Corona basi nakoma mimi, (maana kwa sasa sina kazi kwa hiyo nipo hapa kwake kwa muda huku naangalia michongo mingine) maana bar haendi tena basi akirudi tu nyumbani yaani yeye anataka tu mapenzi tu, kabla hatujala, baada ya kula, tukiwa tunaangalia movie, yaani kifupi muda wote yeye anataka tufanye tu na huo mchezo wake wa nyuma ndio nachoka kabisa. Ki ukweli nimeanza kuchoka haya maisha na ukimnyima mchezo ni ugomvi au kununiwa haswa. Sasa nawaza tu huyu mtu atanioa kweli ama ananitumia tu hapa??? Natamani kumuuliza ila naona kama ataniona labda nampendea ndoa tu, ile je yeye anavyonitumia ni sawa? nimechoka jamani. Naombeni ushauri jamani
Ss tunaotafuta wanawake Wa kuwaoa hatuwapati lakini mabazazi wenyewe rahisi tu anadaka dem faster,
Sema jifunze sizani Kama mwanaume muoaji atakubali awe anamfukua mitaro Mke wake ,

Hapo hakuna muoaji ni bazazi tu huyo ,kama VIP muulize tu uone jibu lake

Wanawake mnafeli Sana kwenye suala LA kumkubalia mwanaume afukue mtaro unadhan ndio atakupenda zaidi hakuna lolote hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni mpango wa Mungu, kwahiyo ulidhani ukiyafanya yote hayo ndo atakuoa? Yaaani hapo ni umejidhalilisha wewe huenda alikuwa anakupima je wafaa kuwa wife material kaona nawewe ndo walewale Kesha kushusha thamani kwakumpa huko nyuma.. wanawake sisi muda mwingine jamani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila kama nilikosea sasa ndio narekebisha na hata hayo mambo siku hizi namyima. Shida ni sioni kama kuna future hapa
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Pole sana,ila ukweli ni kwamba huyo mwanaume mke alienae kichwani ni yule ambae hajaingiliwa nyuma...Hivi dada zetu kwanini mnarubunika kirahisi hivyo? Kisa kakuonesha kukupenda et na wewe unamkubalia kumpa mpka sodoma, vipi kama kuomba huo mchezo kwake ndo kulikua ni kipimo cha kuona kama una msimamo kama mwanamke?
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
 
Back
Top Bottom