Dra Maxie Senior Member Joined Dec 9, 2022 Posts 141 Reaction score 216 Jan 1, 2023 #1 Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,449 Jan 1, 2023 #2 JF kisima cha maarifa
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,710 Jan 1, 2023 #3 Home of Great thinkers labda watu wa Facebook.
Dra Maxie Senior Member Joined Dec 9, 2022 Posts 141 Reaction score 216 Jan 1, 2023 Thread starter #4 Hivi ni ujuaji tu au kuna kujua ndani yake
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,949 Jan 1, 2023 #5 Ni kweli tunajua kila kitu,hata mswaki unaotumia ni wa mwaka jana uongo?🤭🤣
A AGGRESSIVE Member Joined Apr 25, 2020 Posts 32 Reaction score 57 Jan 1, 2023 #6 Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Jf kuna memba zaidi ya laki 5 sasa kama kitu hicho hakijulikani kwa watu laki 5 basi hakipo kabisa duniani. Na kumbuka humu kuna watu waliobarehe tu watoto wako FB. Case closed
Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Jf kuna memba zaidi ya laki 5 sasa kama kitu hicho hakijulikani kwa watu laki 5 basi hakipo kabisa duniani. Na kumbuka humu kuna watu waliobarehe tu watoto wako FB. Case closed
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 Jan 1, 2023 #7 mama D said: JF kisima cha maarifa Click to expand... Heri ya mwaka mpya mama D, baba D na D mwenyewe...
mama D said: JF kisima cha maarifa Click to expand... Heri ya mwaka mpya mama D, baba D na D mwenyewe...
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,468 Jan 1, 2023 #8 Sio kweri ni 'Kweli'
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 Jan 1, 2023 #9 Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Kwa mfano mimi najua mswaki uloutumia leo ni wa mwaka jana.... Au nasema uongo ndugu zangu? Hili nalo mkalitazame
Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Kwa mfano mimi najua mswaki uloutumia leo ni wa mwaka jana.... Au nasema uongo ndugu zangu? Hili nalo mkalitazame
prumpeti JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 1,023 Reaction score 2,315 Jan 1, 2023 #10 Wajuaji ndo wapo hapa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,191 Reaction score 69,712 Jan 1, 2023 #11 Hapa Kuna Watu Wote Unaowajua KKK Kuhesabu, Kusoma Na Kuandika Zinapatikana Hapa Hapa JF Kuna Watu Dunia Yote Wanaipenda Inapatikana
Hapa Kuna Watu Wote Unaowajua KKK Kuhesabu, Kusoma Na Kuandika Zinapatikana Hapa Hapa JF Kuna Watu Dunia Yote Wanaipenda Inapatikana
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,340 Jan 1, 2023 #12 Mimi sijui jinsia yako.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,949 Reaction score 146,187 Jan 1, 2023 #13 Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Wengine tunajua mpaka tofauti ya kweri na kweli.
Dra Maxie said: Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje Click to expand... Wengine tunajua mpaka tofauti ya kweri na kweli.
G gonzare JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 782 Reaction score 1,219 Jan 1, 2023 #14 wengi wanagugo ndio wanapata majibu😎😎tumia gugo vizuri🤣
G gonzare JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 782 Reaction score 1,219 Jan 1, 2023 #15 Kiranga said: Wengine tunajua mpaka tofauti ya kweri na kweli. Click to expand... 😎😎
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,449 Jan 1, 2023 #16 Asprin said: Heri ya mwaka mpya mama D, baba D na D mwenyewe... Click to expand... Happy New Year to you and your loved ones Aprin Hongera kwa ushindi🙏
Asprin said: Heri ya mwaka mpya mama D, baba D na D mwenyewe... Click to expand... Happy New Year to you and your loved ones Aprin Hongera kwa ushindi🙏
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 5,952 Reaction score 10,593 Jan 1, 2023 #17 "kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,574 Jan 1, 2023 #18 gonzare said: wengi wanagugo ndio wanapata majibu😎😎tumia gugo vizuri🤣 Click to expand... Unaweza kugoogle ili kujuwa Magufuli alikuwa Mrundi kutoka ukoo wa Mzilankende yani ukoo wa nyani?
gonzare said: wengi wanagugo ndio wanapata majibu😎😎tumia gugo vizuri🤣 Click to expand... Unaweza kugoogle ili kujuwa Magufuli alikuwa Mrundi kutoka ukoo wa Mzilankende yani ukoo wa nyani?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 Jan 1, 2023 #19 Sweet16 said: "kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf Click to expand... "Kweri" .Heri ya mwaka mpya Sweet16 Mimi bado nakupenda
Sweet16 said: "kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf Click to expand... "Kweri" .Heri ya mwaka mpya Sweet16 Mimi bado nakupenda
G gonzare JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 782 Reaction score 1,219 Jan 1, 2023 #20 Sweet16 said: "kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Sweet16 said: "kweri" kabisa gonzare kumbuka hata gugo si yamewekwa na watu hawahawa ambao wanapatikana jf Click to expand... 🤣🤣🤣🤣