π€£π€£π€£Saiv watawatoa na pua sa cjui mtapumuaje
Hata mama sometimes anaweza kukuangusha
Very sad,Kuna muda wazazi tunazingua mnoπHakika yaani ni ukweli asilimia kubwa sana nilipitia kipindi kigumu na Mama yangu akanifukuza home kama Mbwa na wakati huo nilikuwa nimepata skull fracture yaani mpaka nilikuwa nimepooza mkono wa kushoto πππ
Mungu pekee yake ndiye hawezi kukuacha. Ondoa kabisa tumaini lako kwa Binadamu mwenzio.
To yeye
Muhimu kusamehe maisha yaendelee mkuuHakika yaani ni ukweli asilimia kubwa sana nilipitia kipindi kigumu na Mama yangu akanifukuza home kama Mbwa na wakati huo nilikuwa nimepata skull fracture yaani mpaka nilikuwa nimepooza mkono wa kushoto πππ
Mungu pekee yake ndiye hawezi kukuacha. Ondoa kabisa tumaini lako kwa Binadamu mwenzio.
To yeye
Very sad,Kuna muda wazazi tunazingua mnoπ
Mtandaoni kuna joto sana ππππ