Kuna kitu hakipo sawa hapa Dar

Uchumi mgumu
 
Siku nyingine mkuu, kuwa wazi. Tupe jina la hiyo lodge huu ndio uzalendo. Tusipate shida na sisi tukikamatwa na uchovu.
 
Kwann usiulize hiyo huduma ukaishia kutazama tako?
 
Yaniii wewe jamaa mie nikajuwa labda mlivamiwa mkabakwa kumbe hayo to hebu towa location faster[emoji1787]
 
Daah ningekua mimi sijioni nikikataa hiyo ofa iliyojileta yenyewe, si ajahu hata bei ningepanga mimi.
Bahati nzuri au mbaya mbunye za kimasikhara huwa hazinijii zaidi zaidi ni kuskia tu wadau ambao zimeenda kwao na wamezikataa ilhali uwezo wa kuzitafuna wanao. Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…