Kuna kitu hakipo sawa hapa Dar

Kuna kitu hakipo sawa hapa Dar

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.

Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.

Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?

Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
 
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!!!!
Achana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?
 
Huduma alimaanisha either chakula, vinywaji nk.

Sasa wewe ulivyo na akili imejaa ngono ushaanza kuwasingizia mabinti wa Dar
Hii imenikuta. Huduma ya chakula huwa unaambiwa kabisa, vinywaj huwa unaambiwa kabisa kutoka reception.
Zaid ya hapo nyingine ni sex na hili suala lipo
 
Mbona huwa hawasemi wazi?
 
Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.

Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.

Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?

Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Huu ni uongo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom