Huo ndio mwanzo wa usaliti huo! Kwanini yasipelekwe kewnye vikao husika!
Namna nzuri yakutatua Tatizo kwenye chama ni vikao halali rejea katiba
mwanajeshi hakimbii vita unapambana na ukikimbia wewe ni msaliti na adhabu yako ni kifomsaliti msaliti msaliti msaliti ndivyo utakavyobatizwa bahati yako umetumia id feki. Haya mambo pelekeni kwenye vikao vyenu kama hakuna uhuru wa mawazo njoo huku tupiganie maslahi ya taifa siyo vyama.
Kama una nia nyingine sawa endelea kujadili huku, Lakini kama unaona una ushauri mzuri wa kujenga chama, nakushauri waone viongozi wa chadema ofisini. Swali dogo tu nikikuuliza hapa unampa ushauri nani? na unauhakika gani kama ataupata ushauri au malalamiko yako? NARUDIA KUSEMA KUWA KAMA UNA MALENGO TOFAUTI ENDELEA KUTOA USHAURI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, LAKINI KAMA UNATAKA KUJENGA CHAMA KWA KUTOA MAWAZO MMBADALA YA KUJENGA CHAMA BASI WAONE VIONGOZI WA CHADEMA OFFICIALLY.unaelewa maana ya mjadala mpana.lazima kuwe na nia ya kitu lakini kwa mawazo niliyoyaona hapa ya baadhi ya wanaojiita wana bavicha, inadhihirisha bado tinasafari ndefu ya kuwakomboa situ wananchi bali hata wananojiita wanachama.
kwasababu vikao si njia pekee ya kuwasilisha ujumbehuo ndio mwanzo wa usaliti huo! Kwanini yasipelekwe kewnye vikao husika!
Kuhusu utaratibu nakubaliana na wewe.
Ni ajabu Mnyika akaja hapa na kuanza kukosoa chama bila kufuata utaratibu
Ni ajabu Mwenyekiti wa tawi la Mbozi akaja hapa na kuanza kukosoa chama
Ila kwa mtu kama Victor Mwalusimbi Mwakatete wa kule sumbawanga ambaye bado hajawa mwanachama wa chadema na ana hamu ya mabadiliko yaongozwe na CHADEMA huwezi kumzuia kupost kwenye public forum kama hii kukosoa.
Na tukubaliane tu hapa JF Date of joining is not an issue...Hoja ndiyo issue
Sisi vijana wa BAVICHA tunajua anachokifanya mwenyekiti,mpaka sasa ashafanya mambo makubwa mazuri ya chama na BAVICHA ,naona mashabiki na washindani wake aliowabwaga kwenye uchaguzi wa BAVICHA mnarudi upya bt tutawashughulikia tu,haina jinsi
si kweli mkuu kama anafanya ni kwafaida ya nani?,je anafanya ili aone pekeyake na waliomzunguka?, au inatakiwa jamii nzima ya watanzania ione. Hakuna anaemchukia na hakuna aliependekeza aondolewe bali kianzishwe chimbo ndani ya bavicha kitakachokuwa na majukumu ya kuamsha bavicha.sisi vijana wa bavicha tunajua anachokifanya mwenyekiti,mpaka sasa ashafanya mambo makubwa mazuri ya chama na bavicha ,naona mashabiki na washindani wake aliowabwaga kwenye uchaguzi wa bavicha mnarudi upya bt tutawashughulikia tu,haina jinsi
Nimekupa date baada ya kuona umeandika kuwa mimi ni mgeni hapa! Hilo ndilo nilikuwa nakutoa shaka.
Kuhusu mshabiki, mpenzi na wapenda cdm wote wanakaribishwa kwenye ofisi zetu au kwenye misingi ya chama. Mawazo yao yatapokelewa na kufanyiwa kazi!
Ifike Mahali tuache Tabia yakukwepa Mijadala kwa kumshambulia Mtoa hoja,Mimi nakaguaga operation zote hizo kwahiyo naelewa ninachozungumza ziropoki kama vijana wa lumumba
Kimsingi hujakiuka Kanuni yoyote ya Chama unayohaki yakuandika hayo,Si mimi niliyesema wewe ni mgeni au mwenyeji hapa JF...Kindly refer the previous posts
Lakini ,....Ni sahihi kuzuia watu wote kukosoa namna mambo yanavyofanyika katika taasisi fulani?
Na kama sio sahihi....CHADEMA tunapata wapi uhalali wa kuikosoa serikali waziwazi na hata humu JF?
Kwa sababu sisi ni wadau wa serikali basi tungesema kukosoa hadi twende kwenye vikao vya mitaa na vijiji then mitaa/vijiji iyapandishe juu
A lady Upendo Furaha Peneza would have fitted for this job.....Tumepoteza sana kwa yule Patrobas kuchukua hii Youth Wing
chama cha kifalme chini ya mfalme zana za kilimo...
mkuu jaribu kusoma kwanza posti ,usikimbilie kujibu usichokijuakumbe huu ndo msingi wa hiki kipost chenu,msimchonganishe peneza na pastrobas
PISTO
Tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
wanachama wa Bavicha wanataratibu zao,Heche alifyeka misitu,Patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani
mwanajeshi hakimbii vita unapambana na ukikimbia wewe ni msaliti na adhabu yako ni kifo
kwahiyo ulitaka nije hapa na kuanza kusema ooonimeongea na uongozi ikawa hivi na hivi....... Huo unaitwa umbea,hatuko hapa kubomoapisto
tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
Wanachama wa bavicha wanataratibu zao,heche alifyeka misitu,patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani
Kwa hiyo mtoa mada ni msaliti?
Wewe kaswage Fisi tu ndio kazi unayoweza.Kwa hiyo mtoa mada ni msaliti?