MTRANSPARENT
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 740
- 205
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyeweMkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,
Wanachama wa chadema wanafahamu taratibu za kupeleka mawazo yao kwenye chama. Nyie wengine ni either hamfahamu au ni walewale!
mkuu wewe dhahiri ni mzigo tena wa misumari ndani ya bavichaKwenye kuwashugulikia ccm
kweli bavicha tuna kazi na hapa ndipo tunapoelewa kuna baadhi ua wanachama mi mizigo na wanapenda kupalilia matatizo.
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyewe
Wewe utakuwa ni wakala wa magamba! Wanachama wa cdm wanafahamu utaratibu na wanapeleka maoni/mawazo yao kwenye chama na taasisi zake kwa utaratibu! Mnajifanya Bavicha na Bawacha kumbe ni UWT!
dah hiyo operesheni kaanzisha yeye? kuwepo kuko hakotoshi kilitakiwa operesheni kama hizo kila mahali tanzania na mwenyekiti akionyesha mfanooffice zipo kanda ya ziwa?
Tupe mrejesho wa wewe umenezaje chama? Akiliyangu utaijua tuu maana nikiboko ya ccmI seriously doubt if this Chademakwanza is Ok upstairs, kila siku huwa tunasikia watanzania wenye kadi za vyama hawafiki hata millioni 15 na chama chenye wanachama wengi zaidi ni CCM wanachama millioni 5 tu kati ya watanzania millioni 45. Kwa akili ya huyu anayejiita Chademakwanza CCM inatakiwa kupata kura zisizozidi millioni 5,sijui ana elimu gani huyu jamaa.
I seriously doubt if this Chademakwanza is Ok upstairs, kila siku huwa tunasikia watanzania wenye kadi za vyama hawafiki hata millioni 15 na chama chenye wanachama wengi zaidi ni CCM wanachama millioni 5 tu kati ya watanzania millioni 45. Kwa akili ya huyu anayejiita Chademakwanza CCM inatakiwa kupata kura zisizozidi millioni 5,sijui ana elimu gani huyu jamaa.
Tupe mrejesho wa wewe umenezaje chama? Akiliyangu utaijua tuu maana nikiboko ya ccm
Mimi nakaguaga operation zote hizo kwahiyo naelewa ninachozungumza ziropoki kama vijana wa lumumbadah hiyo operesheni kaanzisha yeye? kuwepo kuko hakotoshi kilitakiwa operesheni kama hizo kila mahali tanzania na mwenyekiti akionyesha mfano
Tangu lini mwana CCM akawa kiboko ya CCM?
nimeuliza swali sijajibiwa .....Do you expect kila mtu .....aje kwenye vikao vya chama?
Do you expect CHADEMA itapigiwa kura na wanachama wake tu?
Hamdhani kuna wakereketwa wa mabadiliko ambao wataipigia kura chadema na hivyo wana haki ya kukosoa?
Nini mtazamo wenu kuhusu ukosoaji wa General Public?
Zakuwashugulikia watu wenye double Standard kama zakoNina asilimia nyingi za uhakika this guy Sio mwanachadema...Ni CCM mtiifu kutokana na tabia zake humu jukwaani
Mwenyekiti Bavicha anawatia viwewe vibaraka Wa CCM...
mkuu wewe dhahiri ni mzigo tena wa misumari ndani ya bavicha
Mkuu ina maana mtoa mada ni msaliti? kwa hiyo hasikanyage ufipa?
Chadema wako imara sana kuliko unavyoweza kufikiri, tulia tu utaona
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyewe
Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.
Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.
Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!