Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA


nilishasema *BEN*ana kitu nyuma ya pazia*
-juzi akaibuka na kuanza kumkashifu kamamda saed kubenea!
 

Ushauri wako ungelikuwa mzuri sana sana na wakujenga kama ungeli uzungumzia MAHALA STAHIKI na SI JF au on PUBLICITY.

Sasa hata mimi unanipa mashaka usije kuwa ni WALEWALE na KAMA SIYO WALEWALE comeon ASAP and Correct your Post.

Haraka sana.
 

kosa la mpumbavu hujulikana kwa watu wote isipokuwa yeye mwenyewe lakini kosa la mwelevu hujulikana kwa yeye mwenyewe isipokuwa watu wote. Wewe umenena vyema lakini watakushambulia sasa ila kwa sentensi niliyotanguliza ikupe moyo usikate tamaa.
 

huko ndani hamuruhusu uhuru wa maoni. Akisema huko ndani mwamuita mamruki ametumwa kwahiyo lazima asemee humu with hiden id
 
CHADEMA hakuna maneno hayo mekundu
 
nilishasema *BEN*ana kitu nyuma ya pazia*
-juzi akaibuka na kuanza kumkashifu kamamda saed kubenea!

ben amechanganyikiwa baada ya mpango wake wa kumpindua Selasini rombo kushindikana
 
ben amechanganyikiwa baada ya mpango wake wa kumpindua Selasini rombo kushindikana

Kwa ROMBO atamshinda Selasini kura za maoni lakini inabidi aache ubishi na kukomoana.Vinginevyo ana jeuri kama Zitto ambayo sio nzuri sana
Kwa bavicha alinikera sana kwa uamuzi wa kuhamishia kambi yake kwa wagombea dhaifu kwa lengo la kulipiza kisasi na kukomoa hadi tukapata haya tunayojadili sasa ivi
 

Hivi wabunge walioshinda uchaguzi uliopita watapigiwa kura au wataachwa wayatetee majimbo yao?
 

Mkuu TUTASHINDA TENA asante kwa kutoa ufafanuzi murua, lakin mhe Lema anaingiaje hapa, aliingilia kummaliza Nanyaro kiviipi? Toa ufafanuzi isije ikawa ni kupandikiza chuki miongoni mwa makamanda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ebu tuambie kwenye kiti wa sasa kafanya nn mpaka sasa, maana mikutano mingi huwa anakuwa na viongozi wa kitaifa. hebu angalia alivyokuwa bwana Heche

Jamaa ni mzigo kama wa zege..
 
Hapana shaka,miongoni mwa sababu zilizowezesha ushindi wa Mwenyekiti ni kiwango chake cha elimu,nafasi yake katika chama- akitumikia kama mwanasheria wa chama,Kanda ya Ziwa - na pia kufahamika kwake kwa wapiga kura,pengine kuliko wagombea wengine,kutokana na hulka yake,wakati huo,ya kupenda kushiriki mara kwa mara mijadala ya kisiasa katika kituao cha Televishen cha StarTV.Hakika sifa zote hizo ni muhimu lakini hazitoshi.Mwanasiasa mahiri haegemei katika wasifu wake,wala historia yake ama hata kufahamika kwake kwa jamii,badala yake,anakuwa na kiwango cha kuridhisha cha ukubalikaji,ushawishi,ufuasi,sifa ambazo aghalabu hutokana,pamoja na mambo mengine,na umahiri katika stadi za mawasiliaono.Hizi ni sifa zilizokosekana kwa Mwenyekiti wa sasa.Inasikisha sana.Inahuzunisha sana.
 
huko ndani hamuruhusu uhuru wa maoni. Akisema huko ndani mwamuita mamruki ametumwa kwahiyo lazima asemee humu with hiden id
ni busara ukituachia mamboyetu ya ndani tuelezane wenyewe
 
No ndio alivyo ni ni hasara, tukumbuke ni mwajiriwa wa CCM kupitia Diallo, hilo nalo neno maana kimyaaaaaaaa ili iweje?
 
Kwa yeyote ambaye anaushauri kuhusu bavicha naomba afike osifi za chama mkoa au makao makuu tutamzikilia kama ni chadema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…