Kuna kitambulisho cha mwanachuo kimeokotwa sehemu...

Mhm kuokota vitu kama hivyo mda mwingine ni hatari kwa muokotaji endepo mwenye I'd atakua kahusika kwenye uhalifu🤔
hivi mkuu hapa nchini tushawai pata kesi maarufu ya sakata kama hilo? --- nafahamu katika ngazi ya kimtaa mtaa jambo hilo huwa linazungumzwa namna hiyo

kama tushawai pata kesi kubwa ya namna hiyo mahakama au mamlaka ziliongeleaje suala zima la vitambulisho kuandikwa "if found please return to above/below address"
 
Sijajua mkuu ,ila uwezekano wa kusumbuliwa na police mpaka uchunguzi ukamilike upo mkubwa
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sijajua mkuu ,ila uwezekano wa kusumbuliwa na police mpaka uchunguzi ukamilike upo mkubwa
Kwa muokotaji?kweli kibongo bongo ni hatari tu! Usikute wezi walivamia nyumba wakaiba then kitambulisho wakaenda kukitupa
 
Yeye mwenyewe anajua huyo samia anamtosheleza vipi mkuu
Kuna mpwa wangu kapata ajira kwenye utawala wa awamu ya sita.... kipindi chote cha jiwe siunajua akuajiri Wala kufanya increment ya mishahara kwa watumishi! So mama anatosha tumpe tu kumi mingine Tanzania iwe kama Canada
 
Back
Top Bottom