Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
tukiwa ukingoni mwa mwaka 2014. ni mengi yametokea na umekutana na watu tofauti ndani ya jf. je umejifunza kitu gani/ kuna nini unaweza kujivunia kwa wewe kuwa mmojawapo kati ya wanajamii forums. nani unadhani anaweza kuwa bora katika mawazo,.ushauri na hata maoni aliyokuwa anachangia.
nini mtazamo wako juu ya jf kwa siku za usoni.
nawatakieni maandalizi mema ya kumaliza mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015
nini mtazamo wako juu ya jf kwa siku za usoni.
nawatakieni maandalizi mema ya kumaliza mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015