Kuna kesi gani kubwa leo Kisutu?

Weka mbali na watoto....
Hapo soln ni kujali kazi yako tu, kapige kazi na potezea yanayoendelea. Hiyo huwa ni alert kuwa wamepewa maagizo ya kumshughurikia vilivyo atakayeingilia shughuri ya kimahakama au kuwagusa targets wao!!!
Nilikua barabarani tu na wao ndo wakapita na ving'ora vya kutosha na msafara wao.
 
Hiyo hali inaharibu sana mood kwa sisi tusiozoea hivyo vitu basi tu.
 
Sie tuliotembela somalia ivo vitu vya kawaida sana.sasa shosti unaharibikiwa siku kwa kuwaona tu je ungeshuhudia majibizano ya risasi laivu bila chenga si ungejikojolea.hebu jitahidi kuwa mkakamavu wa roho.
Ningeanza kipindi kabisa au nizimie. Hata movie za action siangaliagi kwa sababu sipendi kuona mapambano.
 
Hao poliCCM ni kama umbwa, wao hutekeleza jambo lolote wanaloelekezwa na mfugaji wao hata kama halina manufaa yoyote. Wanafanya kazi kitutusa zaidi ghairi ya weledi.
 
Ngachokaga pale wanapopeleka mahabusu mahakamani kwa mikwara alafu kufika mbele ya jaji, jaji anasema mtuhumiwa hana hatia na kuanzia sasa yuko huru!
Mtuhumiwa huyoo anatoka na kwenda kupanda boda boda huku akiwaacha askari magereza hawaamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inakua aibu kweli
 
MipoliCCM imetunisha mimacho kama mivuta bange na kuwatisha raia wasiokuwa na hatia. Hii mijitu ni ya ovyo sana I see.
 
Ninyi ndio chanzo cha ujinga uliopo hapo bongo wanakutisha nini ??? Wanakula watu ?? Unaogopa kufa kwani hutakufa???

Jiamini wewe acha uboya
Ananitisha mende itakua askari. Mkuu kila mtu anauoga wake. Mimi naogopa silaha.
 
Unajua hawa polisi wanataka kutufanya tuishi kwa hofu sana kwenye nchi yetu pendwa Tanzania sijui kwann?
Kweli wanajenga hofu. Mi polisi mwenye silaha hata akiniambia nivue nguo hadharani naweza nikavua.
 
The walking armoury
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…