Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Sio kweli, wa kumuogopa ni Mungu tu!!Hapa duniani vitu vya kuogopa ni kesi na ugonjwa baasi.
Sio kweli, wa kumuogopa ni Mungu tu!!Hapa duniani vitu vya kuogopa ni kesi na ugonjwa baasi.
Umepita msafara wa magari kama nane ya polis na katikati kuna gari ya magareza wanaelekea kama Kisutu. Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano. Na hii sio mara ya kwanza kuwaona wamevaa hivyo. Ni sahihi kwa polisi kuvaa hivyo? Naomba kusema mimi ni muoga sana hasa nikiona silaha na mtu kavaa ninja naona kama chochote kinaweza kutokea. Sijui ni watu wangapi wanaharibikiwa siku wakiona hivyo ila kwa mimi siku yangu imeharibika kabisa leo.
Unajua hawa polisi wanataka kutufanya tuishi kwa hofu sana kwenye nchi yetu pendwa Tanzania sijui kwann?Waende Afghanistan au syria waonyeshe uanaume wao siyo kuja kwa "viwete" kuonyesha umwamba!
Umepita msafara wa magari kama nane ya polis na katikati kuna gari ya magareza wanaelekea kama Kisutu. Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano. Na hii sio mara ya kwanza kuwaona wamevaa hivyo. Ni sahihi kwa polisi kuvaa hivyo? Naomba kusema mimi ni muoga sana hasa nikiona silaha na mtu kavaa ninja naona kama chochote kinaweza kutokea. Sijui ni watu wangapi wanaharibikiwa siku wakiona hivyo ila kwa mimi siku yangu imeharibika kabisa leo.
Waende Afghanistan au syria waonyeshe uanaume wao siyo kuja kwa "viwete" kuonyesha umwamba!
Sasa hapo kinachokutisha ni silaha au kuvaa ninja?Umepita msafara wa magari kama nane ya polis na katikati kuna gari ya magareza wanaelekea kama Kisutu. Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano. Na hii sio mara ya kwanza kuwaona wamevaa hivyo. Ni sahihi kwa polisi kuvaa hivyo? Naomba kusema mimi ni muoga sana hasa nikiona silaha na mtu kavaa ninja naona kama chochote kinaweza kutokea. Sijui ni watu wangapi wanaharibikiwa siku wakiona hivyo ila kwa mimi siku yangu imeharibika kabisa leo.
Njoo inbox nikuzoweshe kila aina za silaha za infantry ili upunguwe uoga.Umepita msafara wa magari kama nane ya polis na katikati kuna gari ya magareza wanaelekea kama Kisutu. Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano. Na hii sio mara ya kwanza kuwaona wamevaa hivyo. Ni sahihi kwa polisi kuvaa hivyo? Naomba kusema mimi ni muoga sana hasa nikiona silaha na mtu kavaa ninja naona kama chochote kinaweza kutokea. Sijui ni watu wangapi wanaharibikiwa siku wakiona hivyo ila kwa mimi siku yangu imeharibika kabisa leo.
Hili neno ulilomalizia sio la kiungwana mkuu maana kila mtu kaumbwa tofauti au hujui kama hawa wadada unaweza kulala nae kitandani kwako pindi utakapo mwekea jongoo kitandani kwake?Ninyi ndio chanzo cha ujinga uliopo hapo bongo wanakutisha nini ??? Wanakula watu ?? Unaogopa kufa kwani hutakufa???
Jiamini wewe acha uboya
Na vyote ni mitihani kutoka kwa Allah SWT.Hapa duniani vitu vya kuogopa ni kesi na ugonjwa baasi.
....waliliamsha, wacha wahangaike nalo ! Wanachezea mapinduzi matukufu !?Hiyo ni kesi ya dhulma dhidi ya Zanzibar. Hao ni wale mavamizi ya bara yalowaita magaidi, ni mashehe wa Uamsho.
Hakika hayatesha majuto yenu.
Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano. Na hii sio mara ya kwanza kuwaona wamevaa hivyo. Ni sahihi kwa polisi kuvaa hivyo?
Wanavaa hivyo ili kupiga selfie ila kwenye mtiti Polisi wetu ni laini saaaana, trust me ni laini saaaana. Siku tukiamua kuliamsha Polisi wote watakimbia, sema tumebarikiwa kuwa waoga.....hatuna tofauti na nyumbu.Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile wanajiandaa kwa mapambano.