Kuna kesi gani kubwa leo Kisutu?

Kuna kesi gani kubwa leo Kisutu?

Ya leo imezidi. Gari 8 sijui kumi halafu na ving'ora. Walikua wanaonekana kama zile nchi zenye vita askari wakiwa wanafanya doria wanavyokua.
POLE sana, pengine ndio ume bahatika kukutana nao kwa mara ya kwanza, lakini hiyo ni kawaida sana kwa hiyo barabara ya Nyerere road..,
 
Nalala mwenyewe bwana. Ningekua nalala na shemeji yako labda ninhekua sioti ndoto za ajabu ajabu.
Wewe nawe bhana, sio kila kiu nichakuongea hadharani, ulitakiwa unifuate huku uani ndio unambie peke yangu. Uje huku uani
 
Hiyo hali inaharibu sana mood kwa sisi tusiozoea hivyo vitu basi tu.

Vitisho vitisho kwa sie ambao tumezoea amani ni shida, nikiona hayo mambo naanza kuwaza, kuna hali yoyote ya hatari imetangazwa?
 
Vitisho vitisho kwa sie ambao tumezoea amani ni shida, nikiona hayo mambo naanza kuwaza, kuna hali yoyote ya hatari imetangazwa?
Hawaelewi tu wanavyotuvuruga. Wangekua wanawapitisha muda ambao raia wema wengi hatuoni.
 
nimezaliwa Kitandu.. udogoni nimeiba sana viazi kota za chuo cha polisi moshi ccp. nimepigana sana na watoto wa maasikari, mtaani kwetu maasikari walijua wakija kunywa gongo sana. naanzaje kuogopa polisi ukubwani??
 
Yani nahisi hata mtu angekatiza kwenye ule msafara wao wangemmiminia risasi za kutosha. Sasa ndo niwasimamaishe wee. Nahisi walibeba magaidi sijui.
Kwa usalama wako ukiwaona hao jamaa wameshika silaha muhimu ni kuangalia uelekeo wako
 
Back
Top Bottom