Uoga wenu tu, mwisho wa yote hayo ni kifo. Acha kuogopa ujinga, eti mtu kashika siraha basi wewe unajaa hofu. Hapana sio haki, nyie ndio mnakuwa mko tayari kuongea uongo, ili kuondokana na kadhia lilombele yako. Mjitahidi mtafute exposure kwenye nchi nyingine, hata Gabs tu. Askari kule wako wa aina 4 ondoa magereza na uhamiaji. Kila uwaonapo wako fullmasnondo. Bunduki moja SMG, au AK 47, Pistol 4, zote hazichukui chini ya risasi 20, zinapiga hadi km 1, amevaa bullet proof, hadi viatu, ana magazine 4 za emergency, ana bomu la kutupa kwa mkono, la kuwasha na machozi, ana gillnet 2, wewe akishuka ghafla kama wewe lazima uanguke tu. Hapo sijakupeleke kwa Cyril Ramaposa!! Utakimbia wewe. Unawashangaa hawa hata viatu mbele havina visu, uniform zimechakaa, njaa inamuuma yupo kwenye lindo, ajalipwa stahiki zake miaka 4, anakaa kwenye jengo la bati!!!