Kuna kama mlipuko wa homa na mafua dsm

Kuna kama mlipuko wa homa na mafua dsm

Ndio ngoma inarudi hio!! 3rd wave Omicron. Sema hii haitishi sana. Wameteleza kwenye formula.

Nakumbuka 2019 miezi ya mwishoni Kama hiihii zilikuja post kama hizi hizi humu JF kabla mamlaka zozote Afrika hazijajua chochote kuhusu Corona.


Nikiwa kama mtaalam wa magonjwa ambukizi niliona JF ilitisha sana na vyombo yetu vya ku monitor AFYA ya jamii ni vya hovyo kabisa.
 
Dooh kumbe tuko wengi, weekend hii ilikuwa pata shika, joto limepanda panadol haijafua dafu, J3 nauliza walevi wenzangu walikulaje bata kila mmoja anasema alikuwa anaumwa homa /mafua mkali.
Mungu ni mwema itapita tu
 
Ila watu wa daslamu kwa kudeka Chaeeeeei!!
Kwahiyo mnaitana mfarijiane ?
Hii ni taarifa kama taarifa nyingine , kama kuna mlipuko ndo tujue
Mafua ni moja ya dalili za korona kwa sasa ndo sababu watu wanakuwa concerned. Unless uniambie korona inauwa watu laini laini wa dar na sio nyie wababe wa mikoani.
 
Back
Top Bottom