Kuna jambo linanishangaza sana

Kuna jambo linanishangaza sana

elkana1

Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Unakuta mwanaume mwenye mindevu yake tena anajenga bifu na mshikaji kisa mwanamke..... hivi hii ni akili au tope kama umetongoza ukakataliwa mwenzio akakubaliwa sasa bifu la nini ulitaka utongozwe ww... wadau em nisaidien kushauri hawa watu jamani wanakeraaaa
 
Waweke kwenye kundi la wajinga basi unaachana nao, wapo wengi sana duniani sio madem tu hata kwenye maisha kuna watu ukiwashinda basi wanakuchukia
 
madevu siyo ukubwa..... ila kujenga bifu kitu kinauma kukataliwa we acha kabisa .....

Mwanaume rijali kukataliwa ni sehemu ya maisha ya kila siku, ni kama vile uendavyo stand na kukuta daladala hii imejaa basi unasubiri ingine yenye nafasi!! Haina sababu ya kujenga bifu, huyo siyo mtongozaji na hapo ndiyo anajifunza kutongoza akikua na kuzoea hatajenga bifu za hivyo tena
 
unakuta mwanaume mwenye mindevu yake tena anajenga bifu na mshikaji kisa mwanamke..... hivi hii ni akili au tope kama umetongoza ukakataliwa mwenzio akakubaliwa sasa bifu la nini ulitaka utongozwe ww... wadau em nisaidien kushauri hawa watu jamani wanakeraaaa

Inategemeana umetumia mbinu gani kumshinda na kujinyakulia huyo Bi. Dada, kama ulitumia rafu ikiwa ni pamoja na kumchafua mwenzio ili wewe umapate huyo Dada lazima bifu liwepo, lakini kama umezimikiwa tu, bifu halina maana.
 
Mwanaume rijali kukataliwa ni sehemu ya maisha ya kila siku, ni kama vile uendavyo stand na kukuta daladala hii imejaa basi unasubiri ingine yenye nafasi!! Haina sababu ya kujenga bifu, huyo siyo mtongozaji na hapo ndiyo anajifunza kutongoza akikua na kuzoea hatajenga bifu za hivyo tena

basi huyo mwanaume si lijali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom