Kuna jamaa amesema yeye ni Kaka wa marehemu wakati yupo harusini

Kuna clip inatrend mitandaoni Sana kuhusu huyu jamaa!
Nilichojifunza inatakiwa kwa week unafanya angalau maramoja kaspeech kakishikaji peke yako hata room kwako kuhusu maada tofauti tofauti za maisha na matukio mbalimbali
Ni kwamba bwana harusi alikuwa anatumia jina la rafikiye marehemu mdogo wa mtoa hotuba, yaleyale ya Bashite na Daudi.
 
Sijaona ajabu hapo sema wabongo tumekuwa watu wa kuendekeza vitu vya hovyo hovy tu...huwez kujua wk moja kabla alikuwa kweny tukio gani na alirecall kiasi gani tukio hilo...huwa linatokea t hata kwa hawa tunaowaita wasomi
 
Back
Top Bottom