Kuna jamaa amesema yeye ni Kaka wa marehemu wakati yupo harusini

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Kuna clip inatrend mitandaoni Sana kuhusu huyu jamaa!

Nilichojifunza inatakiwa kwa week unafanya angalau maramoja kaspeech kakishikaji peke yako hata room kwako kuhusu maada tofauti tofauti za maisha na matukio mbalimbali
 
Aah kwahiyo mkuu ulipoona hiyo clip ukaogopa sana. Ndio maana Hitler alikuwa anaanza kuhutubia mbele ya kioo anajitazama kisha ndipo anaenda kuhutubia mbele ya watu
 
Kuongea mbele ya kadamnasi ni shughuli nzito
 
Kuna clip inatrend mitandaoni Sana kuhusu huyu jamaa!
Nilichojifunza inatakiwa kwa week unafanya angalau maramoja kaspeech kakishikaji peke yako hata room kwako kuhusu maada tofauti tofauti za maisha na matukio mbalimbali
Duu! Sijabahatika kuiona hiyo clip. Sijui kama jamaa atapata mwaliko tena hivi karibuni. Na hivi Wabongo wengi walivyojawa na imani za kishirikina. Utasikia wanasema jamaa anawachulia ndugu zake vifo!!
 
Kuna clip inatrend mitandaoni Sana kuhusu huyu jamaa!
Nilichojifunza inatakiwa kwa week unafanya angalau maramoja kaspeech kakishikaji peke yako hata room kwako kuhusu maada tofauti tofauti za maisha na matukio mbalimbali
Achana maada, wewe nenda kwenye mada
 
Kuna clip inatrend mitandaoni Sana kuhusu huyu jamaa!
Nilichojifunza inatakiwa kwa week unafanya angalau maramoja kaspeech kakishikaji peke yako hata room kwako kuhusu maada tofauti tofauti za maisha na matukio mbalimbali
Haahahahah
 
Bia tamu😂😂
 
Haha unategemea upige hii kitu, then uitwe mbele upewe mic utakuwa sawa kweli!!

IMG_20211206_012657_460.jpg
 
Back
Top Bottom