miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,275
Tarehe 27/09/2017
Mishale ya saa 11 nanusu jioni, kuna dingi mmoja hivi makamu ya miaka 45 hivi, alikuja kwangu tukawa tunapiga story tofauti maana yeye nimtu wa story sana
Sasa kwenye story tukajikuta tunapiga story za kituo cha polisi kilicho funguliwa kwenye kata yetu, akanipa sana story za hicho kituo cha polisi sehemu kilipo na pia akaniambia kitasaidia sana maana mambo ya uhalifu yalikua mengi, akanipgia na story kua yeye aliwahi kuwekwa sero na maisha ya sero ni magumu sana!
Kesho yake sasa tarehe 28 mwezi wa tisa, nlipata msala ambao sikuutegemea nkajikuta nalala sero kwa mara ya kwanza kabisa!
JANA tar 23/12 kuna sehem tulikua tumekaa na huyo dingi pamoja na watu wengine tukawa tunapiga story kuhusu uendeshaji wa pikipiki na namna ambavyo mtu anaweza akapata ajali kwenye barabara za vumbi zilizochongwa na greda,
CHAKUSHANGAZA leo majira ya sa3 asubuhi nmepata ajali ya pikipiki japo nimechubuka kwenye kiganja kiaina na kwenye mikono
INAKUAJE HAYA MATUKIO YAMETOKEA BAADA YA KUZUNGUMZIWA??? YANI TUKILIONGELEA JAMBO BAYA LEO, KESHO LINATOKEA??
????