Mlikuwa mnapiga story za ajali ya pikipiki, wakati mnapiga hiyo story, ulikuwa unawaza nini labda kwa mfano..Sikuwaza kupata ajali, kama hujaelewa kaa kimya
Nlikua nawaza watu walivyopata ajali za pikpik, lakin sio kwa upande wangu maana najiamin na udereva wangu a skuwah kupata ajaliMlikuwa mnapiga story za ajali ya pikipiki, wakati mnapiga hiyo story, ulikuwa unawaza nini labda kwa mfano..
Wewe vipi ...??? Wewe mwenyewe inaonesha hujitambui...mada yako umeileta kana kwamba unatulazimisha sisi tuamini hayo maruwenge yako ya ku-connect dots za matukio ya kufikirika....Unategemea tukupe jibu gani...???Jamiiforum ya miaka hii haina wachangiaji wa kimsaada, watu mnacomment tuu na nyie muonekane
Fungua thread yako usilete ujuaji, kutoa ushauri huwez unaleta ujuaji.. nmeomba ushauri sijaona ushauri wako zaidi yabkuleta ujuajiWewe vipi ...??? Wewe mwenyewe inaonesha hujitambui...mada yako umeileta kana kwamba unatulazimisha sisi tuamini hayo maruwenge yako ya ku-connect dots za matukio ya kufikirika....Unategemea tukupe jibu gani...???
Au kama vipi nenda kwa kina Gwajima wakuombee maana huyo mzee ni jini limetumwa kwako....
Majina kama:Mdomo huumba hata mwanao usimpe jina LA ovyo atafanana nalo kama shida,tabu,ni MPE jina zuri kwa sababu mdomo huumba vile vile ukikosana na mtu usipende kumwambia ataona .kweli ataona
Kwahyo unamaanisha hiyo namba 2 jamaa litakua lilevi sana ausioMajina kama:
1. Majaaliwa .. huyu ataishi kwa bahati.
2. Pombe.. huyu atakua mlevi tu hata kizazi chake.
3. Suluhu.. huyu atakua mtu wa kusuluhisha watu.
4. Tundu.. huyu atakua mtundu sana.
5. ...
6 ....
Hata kama ulikuwa unawazia watu wengine, bado upo katika mawazo hayo, hicho tu kinatosha..Nlikua nawaza watu walivyopata ajali za pikpik, lakin sio kwa upande wangu maana najiamin na udereva wangu a skuwah kupata ajali
Pia skuwah kulala sero hata kufka polisi lakin baada ya mazungumzo kesho yake nkalala sentro
Na kwny mazungumzo sikuwaza kwa upande wangu
Mwambie mzungumzie pesa ili kesho yake utokane na Umasikn
Nimekwambia nenda kwa GwajimaFungua thread yako usilete ujuaji, kutoa ushauri huwez unaleta ujuaji.. nmeomba ushauri sijaona ushauri wako zaidi yabkuleta ujuaji