Kuna ID mlango wa nane, mapooza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Haya yote mawili yana mada zake hapa jamvini, tumefundishana na kufafanuliana vizuri tu kuhusu mlango wa nane na mapooza... Ni vitu vinavyolandana kwa sehemu kubwa kwamba vyote havina positive results
Raha ya post ipate wachangiaji... Kwakuwa tunaiandikia jamii na jamii iki react iwe positively ama negatively lakini ikasema chochote inakupa mwanga fulani kutokana na kile ulichoandika....
Tuna post nyingi nzuri tu lakini unakuta zimechangiwa na watu wasiozidi kumi... Inavunja moyo kweli... Unajiuliza shida iko wapi hapa?
Nikwambie kitu mchangiaji wa kwanza huwa ni muhimu sana Joseverest[emoji3] [emoji3] [emoji3]!!!, kuna watu automatically akianza na post yako atavuta wengine wengi si kwa kile alichochangia la hasha bali kwa positive energy aliyo nayo[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kuna ID ikishaingia tu kwenye mada yako... POLE SANA.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Zinaitwa killer ID'S... inakuja kuua post mazima, inaleta negative energy ambayo huififisha na kuinyongelea mbali mada yako na huo ndio unakuwa mwisho wa kuchangiwa!
Tafadhali nakusihi usije kuanza kupekenyua mada zenye wachangiaji wachache na kuanza kuangalia wa kwanza kuchangia na wa mwisho.... Utazusha mgogoro usio na sababu
 
Unatumia emoji za kike jitafakari jinsia ako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41] [emoji90]
 
Hata biashara mshana jr , wengine wana sudi mbaya na wengine wana sudi nzuri.
Kuna chinga siku moja aligoma kumuuzia barmaid mmoja nguo, akamwambia nikianza na wewe mzigo utadoda..... Baadae kumuuliza alitumia hilo neno akasema huyo dada nuksi kweli... Ana sudi mbaya
 
Shunie umeona rafiki yetu Tantaw kala BAN nimeumia sana! nitakosa comments zake kuleee halafu mbaya zaidi sijui ni BAN ni muda gani?πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Hata nimeangalia kwa makini sio yeye aliyeanza ku reply kwenye huu uzi wa mshana jr hahahahahahahaah
 
Umenikumbusha nilishawahi kuuliza Jamaa yangu Fulani wa kabila fulani kwanini wanaoa wanawake wengi
akaniambia kila mwanamke na mtoto wanakuja na bahati yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…