Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Habari wana jamvi!iko hivi takribani wiki mbili zimepita toka wakurugenzi wa halmashauri za tanga kufanya kazi ya kuhamisha watumishi wa kada ya ualimu kutoka mijini kupelekwa vijijini,ishu ya ikama,sasa kuna baadhi ya wakurugenzi ambao ndio wamepewa jukumu hili wanaanza kucheza michezo ya kitoto,michezo ambayo kwa magu sidhan kama watapona,mmojawapo ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya korogwe mpaka muda huu nnapoandika hajatoa hata shilingi ilhali taarifa zilizopo ni kua fedha serikali imeshapeleka kila halmashauri kwa ajili ya uhamisho,watu wanahangaika kila Mara kwenda kwa mkurugenzi lakini majibu hayaeleweki,hapa ndipo watu huwaza kudhulumiwa.