Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Wakuu
Habari za weekend , naingalia kasi ya Mh.rais ya kutumbuwa majipu kwa watendaji wa serikali ya awamu nne kwa jicho la Tatu.
Rais John amekuwa serikalini kwa zaidi ya miaka 20 .katika nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia ubunge mpaka uwaziri ni vigumu kuthibitisha kwamba hakuwahi kufanya blanda katika kipindi chote hicho.
Naamini kwa kasi hii anayokwenda nayo ataingia katika shimo alilolichimba mwenyewe. Otherwise katika safisha safisha hii anajuwa nani wa kutumbuliwa na ninani wa kuachwa.
Ushauri wa bure Mh.rais nenda taratibu na kwa umakini lasivyo utaingia katika mtego wako mwenyewe.