Kuna haja ya kulaumiana?

Kuna haja ya kulaumiana?

Kwani does it count kama mtu amekuangalia tu kwa macho ya paka ukamuonya huko huko? Jamani christian hug (companero katukataza hatukomi, mweeh)

du! kama ni ya kikristo kweli mbona poa tu. si biblia imesema msalimiane kwa busu takatifu?
 
upendo wa kwanza kama kweli mlipendana kwa dhati basi lazima mtazidi kukumbukana tu hata iweje. Nina mwanamke ananilaumu na mimi huwa namlaumu mpaka leo hii japo tunazaidi ya miaka 10 sasa hatuja onana, lakini huwa anafanya juu chini kupiga simu na kulaumu sana siku moja moja. Hata mimi nikiwa nimeingiwa na mawazo ya kumfikiria sana kutokana na maisha tuliyokuwa tunasaidia na kuishi kama wapenzi huwa na mlaumu sana sijui hatima yake itakuwaje maana yeye ana mme na mimi nina mke na nilishaapa kutokuwa naye karibu ibaki tu lawama hadi kifo.
 
Hapo ni kuwa Mwanaume ameoa 'second choice'
huku akifikiri atasahau 'first choice'
sasa hii 'first choice' ipo around na anaiona ona
dawa ni kupunguza kuonana onana....
 
huoni kuwa ukishaoa au kuolewa hiyo ndo first choice tayari??

Kinakuwaje mtu anaoa au kuolewa afu bado haridhiki?

sasa mnalaumiana nini?

Ila nyie bora mlikuwa wapenzi, mkaachana, labda mnaweza kuwa mnakumbuka mlofanya pamoja.

Hivi hata kama hamkuwa wapenzi, ni haki kulaumiana??

upendo wa kwanza kama kweli mlipendana kwa dhati basi lazima mtazidi kukumbukana tu hata iweje. Nina mwanamke ananilaumu na mimi huwa namlaumu mpaka leo hii japo tunazaidi ya miaka 10 sasa hatuja onana, lakini huwa anafanya juu chini kupiga simu na kulaumu sana siku moja moja. Hata mimi nikiwa nimeingiwa na mawazo ya kumfikiria sana kutokana na maisha tuliyokuwa tunasaidia na kuishi kama wapenzi huwa na mlaumu sana sijui hatima yake itakuwaje maana yeye ana mme na mimi nina mke na nilishaapa kutokuwa naye karibu ibaki tu lawama hadi kifo.
 
huoni kuwa ukishaoa au kuolewa hiyo ndo first choice tayari??

Kinakuwaje mtu anaoa au kuolewa afu bado haridhiki?

Sio wote wana oa au kuolewa na 'first choice'
wengi tu huoa au kuolewa na second au hata third choice

mfano mtu labda first choice alifariki,hapo anaoa second bila kulaumu
anakuwa in peace..
sasa huyo ameoa second choice huku first choice anaiona ona
inam remind kuwa niko na 'second choice' na 'first choice' ile pale..

labda ningekomaa nayo ningeipata...inampa majuto

ndio maana nasema bora asiwe anaiona 'first choice'...
 
The Boss, nachouliza, hata kama umeoa au kuolewa na second choice, ikishafikia point ya kuoana maana yake umeridhika na huyo mtu atakupa japo furaha unayoihitaji.

Kwa nini ujali mambo ya first choice? Hata kama yuko yuko tu na unamuona?
Tayari una mtu ambaye umeapa hadharani kumpenda? Tena hukushikiwa bunduki kuwa naye

Naona ndoa zina siri nyingi sana naona.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli lakini hiyo sasa ni ustaarabu wa mtu na mtu
wazungu wanasema 'common sense is common'.....
 
Samson alikutana na Delila chuoni, akampenda na kumweleza, lakini Delila akawa hajatoa maamuzi yeyote.

Wakati huo huo, Delila akakutana na Ibra, wakaelewana na wakaendelea na mapenzi yao.

Delila akamweleza Samson kuwa keshampata mwingine kwa hiyo aendelee na maisha yake.

Kila mtu akaendelea na maisha yake, lakini Samson kila mara akikutana na Delila humlaumu sana kwa nini alimkataa. Na anaonesha chuki kubwa kwa Ibra kuwa ndio sababu ya yeye kumkosa Delila.

Samson keshaoa na ana watoto kadhaa, lakini kila mara lawama haziishi kwa Delila.

Sasa, kuna haja ya Sam na Delila kuendelea kulaumiana bado? Wakati imepita miaka zaidi ya kumi na tano?

Wakati kila mtu ana familia yake na maisha yake?
Samson sana mke halali wa ndoa, nini tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Delila hamlumu Sam.

Ila Sam anamlaumu sana Delila.

Kibaya zaidi, Ibra kwa kiasi fulani alikuwa njema kuliko Samson, sasa nadhani Sam anahisi alimkosa Delila sababu ya hali yake kiuchumi.

Swali nalojiuliza, ukishaoa ama kuolewa, si unakuwa umesharidhika??

Ina maana hata ndoa halali bado hazileti faraja kihisia? Na kwa nini alioa mtu asiyeweza kumfariji ama kumtosheleza kihisia??

Maana mambo haya ndio unakuta mme wa mtu kapumbazwa na mke wa mtu mwingine. Fikiria siku Delila aamue kumfanya Spare tyre Samson, si atakuwa zuzu?

Nani alitangulia kuingia ndoani? Kama ni Delila, ni wazi Samsoni aliona hana jinsi ya kumpata Delila, hivyo aliamua tu.
Samsoni aache ujinga, siyo lazima ukitakacho ukipate, kama mimi natafuta zaid ya Delila na nampa makitu love mpaka Delila aumie!

Pole kongosho ndo maisha haya!
 
alitangulia Sam kuoa.

japo ndicho wanachotaka kusikia, bora usiseme tu kama humaanishi.

Mwisho wake atazaoea.

teh teh teh...bora kuendelea kutuliza boli inalipa in the long term. Naona maisha yanatuchanganya sana hatujui hata tunataka nini. Laiti tungelijua thamani ya kile tulichonacho???!!!
 
Chezeiya christian hug, hamna majotroo wala nini. Yaani acha tu ukiwaza hizi mavitu utachoka, unabakia kujiuliza huyu baba wakati ananihemea juu yangu anavuta apicha ya kongosho, snowhite ama ya Kipipi?
Mungu ana akili sana kuzuia kuacha rekodi kwenye ubongo. Ulishawahi kufikiria kama kichwa cha mtunkingekuwa na blackbox kama ya aeroplane? Au ingekuwa ukipakuaubongo unaweka kwa pc unasoma data? Tungeuana
najaribu kuimagine hyo a christian hug! shosti wangu King'asti !hapo unapataaje shida we unaitoa tu kwa moyo wa kikistrisu ule wa kijumuiya kabisa ye yuko mbaaali!
dah haya makitu bana yani ndani una mke lust iko kwa mwingine for 15 years!mweh!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali umeruhusu. Manake umeniachia mtihani wa ku-delete marafiki zangu wanaume ujue, i mean wote. Ila Paw inabidi nimfomart kabisa ubongo manake nae anao wa kike.
christian hug it is, lol. As long as them boobs na kiuno havimgusi anaesalamiwa:mwaaah:
du! kama ni ya kikristo kweli mbona poa tu. si biblia imesema msalimiane kwa busu takatifu?
 
kusingekuwa na ndoa.

Afu hakuna kitu kibaya kama kuwaza hilo la kwamba huyu ananihemea anamuwaza Farida au Fatu?

Unaweza ukawa pale kimwili lakini kiroho uko segerea kwa mauaji ya Farida na Fatu.

Chezeiya christian hug, hamna majotroo wala nini. Yaani acha tu ukiwaza hizi mavitu utachoka, unabakia kujiuliza huyu baba wakati ananihemea juu yangu anavuta apicha ya kongosho, snowhite ama ya Kipipi?
Mungu ana akili sana kuzuia kuacha rekodi kwenye ubongo. Ulishawahi kufikiria kama kichwa cha mtunkingekuwa na blackbox kama ya aeroplane? Au ingekuwa ukipakuaubongo unaweka kwa pc unasoma data? Tungeuana
 
Last edited by a moderator:
he he he he, kuna wengine hata salamu ya mkono anajaribu kumaliza kila kitu, mkono hauachii hata kwa dakika 8, eti salamu tu.

Hug ni faida kubwa.

Afadhali umeruhusu. Manake umeniachia mtihani wa ku-delete marafiki zangu wanaume ujue, i mean wote. Ila Paw inabidi nimfomart kabisa ubongo manake nae anao wa kike.
christian hug it is, lol. As long as them boobs na kiuno havimgusi anaesalamiwa:mwaaah:
 
Chezeiya christian hug, hamna majotroo wala nini. Yaani acha tu ukiwaza hizi mavitu utachoka, unabakia kujiuliza huyu baba wakati ananihemea juu yangu anavuta apicha ya kongosho, snowhite ama ya Kipipi?
Mungu ana akili sana kuzuia kuacha rekodi kwenye ubongo. Ulishawahi kufikiria kama kichwa cha mtunkingekuwa na blackbox kama ya aeroplane? Au ingekuwa ukipakuaubongo unaweka kwa pc unasoma data? Tungeuana
umiona enh!
 
Back
Top Bottom