pole, ni kukutia mikosi tu.
Kila mtu abebe mzigo wake wa maisha.
ha ha ha, kote kote wapo.
Na wewe ni bad boy?
Hilo ndio la msingi,tusitwishane mizigo! Mimi nimeshaolewa na nina watoto wa3,yeye hajaoa bado ingawa financially yuko stable ananiambia kama atakuja kuoa basi mimi ndio nitakuwa mkewe! Imagine uko kwenye ndoa halafu kuna mtu anaomba ivunjike.

🙂 🙂 bad boy for real? 🙂 🙂
mkimbie, mtu wa aina hiyo hata kama hujaolewa si wa kuwa naye.
Naona kama ana ukichaa wa aina fulani.
Naamini hili swali mlilojiuliza ni la muhimu sana...manake isije tu ikawa tu kama ile methali isemayo..Pema ni Pema hujapopema..Ukishapapema panakuwa si pema tena...lol
🙂 🙂 bad boy for real? 🙂 🙂
Haswaaa...mzuri ukimuona kule...akikaribia unataka kufanya mageuzi. Akili zetu zimeingia utandao au zina matege labda.
duh! Pole sana na kaa naye mbali ,obssession tu hiyo.
Kuna watu wanajua kuigiza ...we acha tu mkuu...yaani kabisa mtu anatoa michozi utasema anamaanisha...akishajisevia tu anasepa...lol..Wakati mwingine girls wana kazi sana kutubaini nani muongo na nani mkweli...
mkimbie, mtu wa aina hiyo hata kama hujaolewa si wa kuwa naye.
Naona kama ana ukichaa wa aina fulani.
inaboa sana mtu kukutwisha matatizo ya nyumbani kwake.
Yaani! Najitahidi kweli kuwa nae mbali ila Dar ndogo sana. Mungu tu atamuonyesha mwanga kwenye maisha yake.