ni kweli, kuendekeza hali hii ni mbaya hata kwa ndoa ya Sam.
Anaweza shindwa kumfurahia mkewe sababu hisia zake anazigawa kwa mtu asiye na thamani kwake.
Bora zote azikusanye na azihifadhi kwa ajili ya mkewe.
Ndio unajikuta mke wa Sam hata akifanya kakosa kadogo basi linakuwa kuuubwa, kumbe mtu ana yake yanayomsumbua rohoni.
Yaani kuwa kwenye viatu vya mke wa Sam ni kazi sana. Unambembeleza mmeo kakuna tu, kumbe anamtamani Delila.
Unajua nini Kongosho?..kila mtu ana namna yake ya kuingia kwenye ndoa...kuna watu wanaingia kwenye ndoa washaumizwa na wanafanikiwa kuheal..lakini kuna wengine wanaingia na masononeko yao na bado wenzi wao wanashindwa kuvaa vizuri viatu vya wenza watarajiwa...Kujibu swali lako labda niseme inategemea na 'namna' ambavyo mtu alifall kwa mwengine kabla ya ndoa..as for your example..if Sam had previously fallen submissively in love with Delila and it happened that Sam went to marry his wife just for the sake of other circumstances probably his love/lust whatever you call for Delila will never end..and probably Sam's wife will never fit in Delila's shoes...SnowBall, hivi inakuaje unaoa mtu asiyeweza kujaza viatu vya furaha yako japo uweze kutembea tu?
pacha umenena!lakini ukweli ni kwamba kuoa/kuolewa ilhali unaaamini furaha yako haipo kwa huyo unayemuoa au kuolewa naye ni kujiumiza !Unajua nini Kongosho?..kila mtu ana namna yake ya kuingia kwenye ndoa...kuna watu wanaingia kwenye ndoa washaumizwa na wanafanikiwa kuheal..lakini kuna wengine wanaingia na masononeko yao na bado wenzi wao wanashindwa kuvaa vizuri viatu vya wenza watarajiwa...Kujibu swali lako labda niseme inategemea na 'namna' ambavyo mtu alifall kwa mwengine kabla ya ndoa..as for your example..if Sam had previously fallen submissively in love with Delila and it happened that Sam went to marry his wife just for the sake of other circumstances probably his love/lust whatever you call for Delila will never end..and probably Sam's wife will never fit in Delila's shoes...
But all in all fifteen years is a very long time for someone to forget unless wanaishi maeneo mamoja....
Sidhani kama inaweza kufika huku...na mara nyingi unadhani basi hata huyo Sam anamuwaza Delila akiwa kwake??.......as you say it is just the matter of curiosity...yaani kuna zile unakuwa unajisemea tu moyoni...'lazima nimuonje'....but sidhani inaweza fikia level za kubakana...lol
ndo mana mi huwa nasema unapoachwa kwenye mahusiano hakikisha unjiponya na kuheal kibinsfsi kwanza kabla ya kuanza kubebesha mzigo mtu mwingine akuheal! ni ngumu sana mtu kuweza kutoa kile kilichopo akilini mwako ilhali ulikuwa unataka kukihold for GOOD!
ni bora umuonjeshe asepe kuliko aanze tabia ya kuja kushinda getini kwako anakusubiri.
Maana kuna watu ni ving'ang'anizi kama kupe, kumtoa mahali hadi ukate kichwa.
Weeh! Mtu unamhug a christian hug (si unaijua, makalio na manyonyo unaweka mbaliii afu unamkamata mkono mmoja asije akashika kiuno.). Ila unamsikia anahema kama mbwa na anatetemeka! Aisee, nikimuona nabadili njia!
Hicho nilichobold ndicho nilichomwambia Kongosho my pacha...Watu wanashindwa kuelewa tu lakini unapokutana na mtu aliyeumizwa sana kwenye uchumba na mkafunga ndoa..unatakiwa ujitune sana kumfanya aone kuwa hakukosea..Nina mfano wa mshkaji wangu alimpoteza mchumba wake siku moja before ndoa..yaani ghafla tu siku ya mkesha wa harusi mkemtarajiwa akafariki...Yaani ingawa jamaangu sasa yuko kwenye ndoa for almost four years now lakini bado lile tukio linamjia sana na uzuri mke wake aliyemuoa baafaye anafahamu na kwa kiwango kikubwa amejitahidi kumheal as tukicompare zamani na sasa..na pia walihama sehemu lilipokuwepo kaburi la mchumba wa zamani.....
don't try this at home, hii ni kwa wale waliokuwa trained tu.
Kuhug mtu uliyembwaga? Anaweza kukukaba hapo hapo.
Ndahani, swali la msingi sana, je hata angempata Delila angetulia??
Afu bana, tunapowalea watoto wetu hebu tuwafunze kuwa maishani kuna mapenzi ambayo huumiza na unatakiwa ku-move on.
Hakuna watu wabaya kama wale waliokuwa wamededikate maisha yao religiously kwenye shule, wao wakipenda hawajui kuna kukataliwa, basi ndio mtu anaganda kama ruba.
Ndio maana mie naamini bad boys are more interesting, ila hawa good boys?? Dah! (baadhi)
Ndahani, swali la msingi sana, je hata angempata Delila angetulia??..
.. Kitu kimoja ninachojiuliza sana na huwa sipati jibu ni kuwa hivi kama kweli mtu kama Sam atampata huyo anayeamini ndiye wake haswaa, atatuliza boli chini na kumpenda yeye tu tena kwa moyo wake wote kama anavyojitahidi kuuza sera?....
SnowBall likes what his pacha snowhite has narrated.....pacha huyo rafiki yako alikuwa muwazi akalisema hili kwa huyo mwanamke na mwanamke akaweka effort zake na anafanikiwa kumsahau!
watu tu wanafiki juu ya hisia zetu pacha !
ujasiri wa kulisema hili kwa wacumba wapya wanaopatikana baada ya kuumizwa na kupoteza wachumba amabo watu walipanga kuwa nao kimaisha na lenyewe ni gumu !matokeo yake watu wanaishi kwenye uasi tu!
hyo mke wa rafiki yake alifanikiwa kumuwin over rafiki yeni kwa kuwa jamaa alikuwa wazi so na mwanamake akajua the status ya jamaa kihisia!;lakini wanagapi hapa wanaweza kufanya hilo matokeoa yake hakuna!lakini pia ni wanagapi wanawale au wanaume wanaweza kukubali hili wakiambiwa na wapenzi wao!nani anataka kukaa na mtu anayempenda mtu mwingine!
lakini pia niseme tu huyo shemeji yeni ilikuwa rahisi pia kwasabu anajua mtu anayependwa na mumewe au by then mchumba tayari ameshafariki!
mwanadamu kwa asili yake ni mbinafsi!
hiki ni changu nakipenda na nataka nikimiliki mimi peke yangu!
huyo ndiye mwanadamu!
hataki ushindani!hataki kuingiliwa milki yake mbya zaidi ya kihisia!
Ndahani, swali la msingi sana, je hata angempata Delila angetulia??
Afu bana, tunapowalea watoto wetu hebu tuwafunze kuwa maishani kuna mapenzi ambayo huumiza na unatakiwa ku-move on.
Hakuna watu wabaya kama wale waliokuwa wamededikate maisha yao religiously kwenye shule, wao wakipenda hawajui kuna kukataliwa, basi ndio mtu anaganda kama ruba.
Ndio maana mie naamini bad boys are more interesting, ila hawa good boys?? Dah! (baadhi)
kwa kawaida huwa atuoni thamani ya tunavyovimiliki mpaka tuvipoteze!Naamini hili swali mlilojiuliza ni la muhimu sana...manake isije tu ikawa tu kama ile methali isemayo..Pema ni Pema hujapopema..Ukishapapema panakuwa si pema tena...lol