mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kwa maoni yangu Kuna haja ya kufanyiwa graduates gap analysis kwa Kila kozi, ikiwezekana baadhi ya kozi zisitishwe hadi uhitaji utakapotokea....
Tunaambiwa au tunasikia waalimu wa sanaa wapo wengi kuliko uhitaji....
Kuna Courses nyingi zinasomwa kwa elimu ya chuo kikuu lkn elimu hiyo inaweza kupatikana kwa ngazi za veta au diploma na kuziba kabisa hilo gap katika jamii.
Hii itasaidia kupunguza msongamano wa wasomi mtaani ambao hatuwatumii tupate matunda ya kodi tunazotoa ili mabumu yao yalete tija mtaani.
Elimu isiachwe wazi Bila kujua tanzania Kuna Gap gani na linazibwa na watu gani zaid...
Zile zama za kuanzia darasa la kwanza na break ya kwanza ni UDBS au DUSE Bila kujua unaenda chuo ili iweje ilimradi tu graduate utaajiriwa zimepitwa na wakati....
Hii imepelekea Kila graduate asiye na kazi aingie kwenye kilimo huku hakuwahi kuwaza kumiliki hata Bustani ya maua kitenge mwisho wake ni kuangukia pua....
Maoni yako...