Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

Unaweza kunishangaa kwa mada kama hii na kufikiri nimewaza nini.. Lakini kama hili likifanikiwa tutakuwa tumesaidia kutatua tatizo kubwa sana

Wote tunatambua kwamba guest house ama nyumba za wageni kwa zaidi ya asilimia 80 zinatumika ndivyo sivyo... Kwa asilimia zote hizo huko ni machimbo ya ufuska, umalaya na ngono kwa wanafunzi, wamaume na wanawake wasio waaminifu kwenye ndoa zao, ma bar maid, beki tatu nknk

Ni kwa asilimia chache sana nyumba hizi hutumika kwa usahihi... Kwamba mtu ni mgeni kweli wa hilo eneo na hana ndugu au jamaa au rafiki, ama jamaa yake kutokana na ufinyu wa nyumba yake basi akuchukulie chumba gesti.. Na ni kwa asilimia chache zaidi mtu kuchukua chumba na kulala peke yake[emoji30][emoji848][emoji144]

Mapato ya hizi nyumba hutegemea 'wageni ' wa muda mfupi maarufu kama short time

Sasa basi kwa wale wanaolala kwa sababu zozote zile maranyingi hujaza kumbukumbu za uongo kwenye kitabu husika, kuanzia jina, kabila, mawasiliano mahali atokapo nknk.. Hili huwa gumu mara litokeapo tatizo kwa mgeni
Hivyo basi ni vema kwenye kile kitabu kikaongezwa kipengele cha MAWASILIANO YA MTU WA KARIBU ama msiri in case of emergency..

Pindi likitokea tatizo lolote hasa la ugonjwa ama kifo ni rahisi kwa wanaokujua kupata taarifa mapema na kutafuta msaada wa haraka.. Unaweza kufia gesti na mtu uliyekuwa naye akasepa kisha ukaishia mochwari na baadae kuzikwa na manispaa

Jr[emoji769]
Ukifia gesti utajulikana tu. Wote waliofia gesti walijulikana ndani ya siku mbili. Manispaa hazijawahi kuzika aliyefia gesti. Wote walichukuliwa na ndugu zao. Chunguza.
Hata utoke Makambako ukafie Rorya, kama ni kwenye gesti utapatikana tu hata ukiandika majina ya uongo. Ndiyo miujiza ya vifo vya gesti.
 
Labda tuulizie uzoefu kule Zanzibar kwenye Hotel ambazo ni lazima kuwasilisha cheti cha ndoa, je biashara wanafanya au hawafanyi?
 
Yes mtoa mada umetoa mada nzuri ila tatizo tunaishi in a pit hole country,nchi zinazojielewa huduma kama hii ya B&B NI LAZIMA UWE NA ID BOOK,OR LIFE BOOK,matatizo yote tunayokumbana nayo nchini yataisha tutakapokuwa na id,elewa hizi id zinazungumza kwenye systems zote za nchi nzima,kuanzia home affairs,benki,mahakama,kwenye credit shops,ofisi zote za serikali etc etc,sasa unapocheck inn ndaninya B&B mhudumu anaomba id book yako na walaaaa informations zote anazo,ulipozaliwa hadi alipooa au kuolewa,kinyume cha hapa nchi itaendelea kuwa chooo cha public
[emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Ukifia gesti utajulikana tu. Wote waliofia gesti walijulikana ndani ya siku mbili. Manispaa hazijawahi kuzika aliyefia gesti. Wote walichukuliwa na ndugu zao. Chunguza.
Hata utoke Makambako ukafie Rorya, kama ni kwenye gesti utapatikana tu hata ukiandika majina ya uongo. Ndiyo miujiza ya vifo vya gesti.
Hapana sio kweli kabisa tumezika wengi waliofia gesti na taarifa zao zikakosekana

Jr[emoji769]
 
Unaweza kunishangaa kwa mada kama hii na kufikiri nimewaza nini.. Lakini kama hili likifanikiwa tutakuwa tumesaidia kutatua tatizo kubwa sana

Wote tunatambua kwamba guest house ama nyumba za wageni kwa zaidi ya asilimia 80 zinatumika ndivyo sivyo... Kwa asilimia zote hizo huko ni machimbo ya ufuska, umalaya na ngono kwa wanafunzi, wamaume na wanawake wasio waaminifu kwenye ndoa zao, ma bar maid, beki tatu nknk

Ni kwa asilimia chache sana nyumba hizi hutumika kwa usahihi... Kwamba mtu ni mgeni kweli wa hilo eneo na hana ndugu au jamaa au rafiki, ama jamaa yake kutokana na ufinyu wa nyumba yake basi akuchukulie chumba gesti.. Na ni kwa asilimia chache zaidi mtu kuchukua chumba na kulala peke yake[emoji30][emoji848][emoji144]

Mapato ya hizi nyumba hutegemea 'wageni ' wa muda mfupi maarufu kama short time

Sasa basi kwa wale wanaolala kwa sababu zozote zile maranyingi hujaza kumbukumbu za uongo kwenye kitabu husika, kuanzia jina, kabila, mawasiliano mahali atokapo nknk.. Hili huwa gumu mara litokeapo tatizo kwa mgeni
Hivyo basi ni vema kwenye kile kitabu kikaongezwa kipengele cha MAWASILIANO YA MTU WA KARIBU ama msiri in case of emergency..

Pindi likitokea tatizo lolote hasa la ugonjwa ama kifo ni rahisi kwa wanaokujua kupata taarifa mapema na kutafuta msaada wa haraka.. Unaweza kufia gesti na mtu uliyekuwa naye akasepa kisha ukaishia mochwari na baadae kuzikwa na manispaa

Jr[emoji769]
Ama kupelekwa kuwa cadava
 
Asprin tia neno kwenye mada hii, maoni yako yanahitajika hapa.
Sasa mimi na mambo ya gesti wapi na wapi? Mbona unapenda kunichokoza lakini? Umesahau mi ni mkatekumeni nikiyeamua kuifuata ile njia nyembaba ielekeayo mbinguni?

Nitake radhi kabla sijafanya maamuzi magumu
 
Dunia simama nishuke..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nimesema MAWASILIANO ya mtu wako wa KARIBU ama msiri wako huyu si lazima awe ndugu

Jr[emoji769]
Hili suala la kuandika mtu wa karibu lina umuhimu sana na nimekuwa nikiwashauri wenye Nyumba za Wageni lakini naona muitikio haupo kabisa. Utakuta hivi sasa wameongeza kipengele cha kuandika namba za simu za mteja lakini unapofikwa na matatizo ni nani ataarifiwe hapo wamejisahau kabisa. Kupitia jukwaa hili wahusika wanaweza kuperuzi na kuweka hicho kipengele kwenye kitabu cha wageni. Kuna siku niliwahi kukamatwa Mtwara kwa kutoandika kwenye kitabu cha wageni taarifa zangu kwa wakati muafaka, na nilipata usumbufu mkubwa, nashukuru mwenye nyumba ya wageni alinisaidia sana kuepukana na balaa la watu wa uhamiaji.
 
.
downloadfile.jpeg

Jr[emoji769]
 
Umenena ila watake radhi(exclude me) wale uliowaita wazinzi mkuu.Ndoa nyingi huanzia huku baada ya MGEGEDO.
 
Back
Top Bottom