Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka watu wahamie kwenye magari au maporini? Uzinzi hauwezi kukomeshwa nyegezi zikishapanda basi ni lazima tu ufanyike.
Watu waoane wafanyie chumbani kwao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes mtoa mada umetoa mada nzuri ila tatizo tunaishi in a pit hole country,nchi zinazojielewa huduma kama hii ya B&B NI LAZIMA UWE NA ID BOOK,OR LIFE BOOK,matatizo yote tunayokumbana nayo nchini yataisha tutakapokuwa na id,elewa hizi id zinazungumza kwenye systems zote za nchi nzima,kuanzia home affairs,benki,mahakama,kwenye credit shops,ofisi zote za serikali etc etc,sasa unapocheck inn ndaninya B&B mhudumu anaomba id book yako na walaaaa informations zote anazo,ulipozaliwa hadi alipooa au kuolewa,kinyume cha hapa nchi itaendelea kuwa chooo cha public
 
Kinachotakiwa ni kwamba mgeni anatoa ID muhudumu ndio anajaza taarifa zake full stop
Unaweza kunishangaa kwa mada kama hii na kufikiri nimewaza nini.. Lakini kama hili likifanikiwa tutakuwa tumesaidia kutatua tatizo kubwa sana

Wote tunatambua kwamba guest house ama nyumba za wageni kwa zaidi ya asilimia 80 zinatumika ndivyo sivyo... Kwa asilimia zote hizo huko ni machimbo ya ufuska, umalaya na ngono kwa wanafunzi, wamaume na wanawake wasio waaminifu kwenye ndoa zao, ma bar maid, beki tatu nknk

Ni kwa asilimia chache sana nyumba hizi hutumika kwa usahihi... Kwamba mtu ni mgeni kweli wa hilo eneo na hana ndugu au jamaa au rafiki, ama jamaa yake kutokana na ufinyu wa nyumba yake basi akuchukulie chumba gesti.. Na ni kwa asilimia chache zaidi mtu kuchukua chumba na kulala peke yake[emoji30][emoji848][emoji144]

Mapato ya hizi nyumba hutegemea 'wageni ' wa muda mfupi maarufu kama short time

Sasa basi kwa wale wanaolala kwa sababu zozote zile maranyingi hujaza kumbukumbu za uongo kwenye kitabu husika, kuanzia jina, kabila, mawasiliano mahali atokapo nknk.. Hili huwa gumu mara litokeapo tatizo kwa mgeni
Hivyo basi ni vema kwenye kile kitabu kikaongezwa kipengele cha MAWASILIANO YA MTU WA KARIBU ama msiri in case of emergency..

Pindi likitokea tatizo lolote hasa la ugonjwa ama kifo ni rahisi kwa wanaokujua kupata taarifa mapema na kutafuta msaada wa haraka.. Unaweza kufia gesti na mtu uliyekuwa naye akasepa kisha ukaishia mochwari na baadae kuzikwa na manispaa


Jr[emoji769]

Sent by Diaspora
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie ni mtakatifu si mzinzi ila guest house nimelala sana kikazi mikoa mbali mbali nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23] sina imani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Faragha itabaki kuwa faragha ukifa ni siku imetimia kuzikwa na city au municipal haina shida ukifa kilichobaki ni kuzikwa tu siwezi kutoa vitambulisho
 
Back
Top Bottom