Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

Miaka hiyo ya ujinga niliwahienda gesti,nilivyokuwa najaza jina (ofcourse la uongo) kwenye page juu kabisa nilikuta jina langu kuwa nilikuwa hapo wiki iliyotangulia wakati sio kweli,nilikuja kumshtukia mshikaji wangu wa karibu ndio alijaza,na mimi ikawa ni mwendo wa kujaza jina lake kila nilipoenda hadi nilipoacha upuuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
sidhani kama uwingi wa matukio ya vifo ni kwa kiasi kikubwa namna hyo mpaka kufikia hatua ya kuchukua maamuzi magum kama hayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Ila wadada wa guest wanapiga pesa bwana yani guest ikiwa na mzunguko mzuri zile short time kwa siku unakuta kabana mpaka 40,000/ tena kama mm sikumbuki ni lini mara ya mwisho niliandika kwenye kitabu.
 
sidhani kama uwingi wa matukio ya vifo ni kwa kiasi kikubwa namna hyo mpaka kufikia hatua ya kuchukua maamuzi magum kama hayo
Si kwa uchache au uwingi wa matukio bali ni hadhari ya kuwa na taarifa za kutosha in the case of emergency

Jr[emoji769]
 
Mkuu wala usiumize kichwa..kwani umeshasikia kifo hata kimoja cha mtu aliyefia guest na akakosa ndugu!?? Hakuna tatizo mkuu,hii inasaidia kulinda ndoa za watu anaweza kwenda hapo mkeo akiona number yake si itakuwa shida...!??

Watu wanaandika majina bandia na number bandia lkn mifukoni wana vitambulisho. Mtu atakuwa na either card ya bank, kitambulisho cha kupigia kura, kitambulisho cha uraia...nk. akifa police wakimpekua watapata pa kuanzia. Lkn msaada mwingine ni simu atakayokuwa nayo marehemu. Watapigiwa watu watakaokuwa kwenye call register....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Mj1

Nina uzoefu na hili kwakuwa nilishafanya kazi mochwari.... Kuna ambao huibiwa kila kitu, kuna ambao taarifa za vitambulisho haziko kamili... Ninachoongea hapa ni taarifa za ziada tu kuongeza ufanisi

Jr[emoji769]
 
Ukisema tuweke mawasiliano ya wandani wetu wa karibu, bado tunaweza tukaweka zile namba za matapeli wa kwenye mitandao.

Labda kuwe na utaratibu wa kufunga kamera za ulinzi kwenye nyumba zote za wageni halafu kila ifikapo mwisho wa wiki, balozi na mwenyekiti wa mtaa waitwe na wamiliki kwenda kuwatambua wageni wote waliolala kwenye gesti husika kwa huo muda wote wa wiki nzima. Hakika tutaanza kwenda vichakani na maporini.
Nimecheka kama chiziii
 
Ni ngumu na ni mgongano wa kimaslahi... Biashara zitadorora

Jr[emoji769]
Wataenda wapi? Maporini? Kwa mfano ikiwa ndo sheria yani lazima na ikigundulika kuna mtu anatoa huduma bila kufuata sharti hill anatozwa faini kama laki tatu hivi paohapo.
 
Back
Top Bottom