Kuna gest house zenye majina

Cheti cha ndoa hakina picha... nikienda nacho watathibitishaje huyu ni mke wangu???

Wajinga ndio waliwao
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?
 
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?
Hahahaha watampga chini asee... watahisi ni mtu na mwanae. Hata Diamond za Zari wanaweza wakakataliwa. Hawa jamaa si watu wa mchezomchezo
 
tukiingia mida tofauti halafu baadae akaja chumbani kwangu itakuwaje, au wanakagua door to door
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…