Kuna gest house zenye majina

Kuna gest house zenye majina

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
1479991208160.jpg
 
Yuko saw a....hyo ni Nyumba ya kulala wagen
 
hahaha...njombe mojaaa iyo.hatar guest hadi vichochoronii
 
Cheti cha ndoa hakina picha... nikienda nacho watathibitishaje huyu ni mke wangu???

Wajinga ndio waliwao
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?
 
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?
Hahahaha watampga chini asee... watahisi ni mtu na mwanae. Hata Diamond za Zari wanaweza wakakataliwa. Hawa jamaa si watu wa mchezomchezo
 
tukiingia mida tofauti halafu baadae akaja chumbani kwangu itakuwaje, au wanakagua door to door
 
Back
Top Bottom