Naenda na cheti cha ndoa au ?Hiyo guest ipo njombe, hauingii na mwananke kama sio mkeo, hata bia hawaruhusu uingie nayo
Mi takuja kukoment bdae saivi namalizia kinywajiNaenda na cheti cha ndoa au ?
Hapana, mke na mume wanafahamika tu, ni guest nzuri sana kwa wasafiri/watu wasiopenda bughudhaNaenda na cheti cha ndoa au ?
Cheti cha ndoa hakina picha... nikienda nacho watathibitishaje huyu ni mke wangu???Naenda na cheti cha ndoa au ?
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?Cheti cha ndoa hakina picha... nikienda nacho watathibitishaje huyu ni mke wangu???
Wajinga ndio waliwao
Hahahaha watampga chini asee... watahisi ni mtu na mwanae. Hata Diamond za Zari wanaweza wakakataliwa. Hawa jamaa si watu wa mchezomchezoHahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?