Kuna gest house zenye majina

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,457
1479991208160.jpg
 
Hahaha aisee sijui wanathibitisha vipi kwa hiyo akienda mzee machache na K-lyn hawataingia ?
Hahahaha watampga chini asee... watahisi ni mtu na mwanae. Hata Diamond za Zari wanaweza wakakataliwa. Hawa jamaa si watu wa mchezomchezo
 
tukiingia mida tofauti halafu baadae akaja chumbani kwangu itakuwaje, au wanakagua door to door
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom