Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

Wanaume tuna high sex drive kubwa kuliko nyinyi tunakuwa na hamu kubwa ya lile tendo na uhitaji wa Hali ya juu ishakuwa kama basic needs

Ndo maana mwanaume anaweza lala na mwanamke yeyote either Dada poa na akawa comfortable na akafurahia wewe unaweza? Wewe unaweza kununua makaka poa? Mfano kama yangekuwepo

Chengine sisi viumbe vyenye asili ya kiume ni Mara chache sana kuwa na jike moja maybe unaweza ukaniletea hoja za kweny maandiko ila ukumbuke tu pia kuna dini zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja

Na namalizia ndio wengi hawawezi sisi ndo tuna uhitaji mkubwa wa lile tendo ndo maana sisi tunawasumbua tunawatongoza kwa Sana ushangai kuona kichaa wa kike ana mimba mtaani?

Sometimes inaweza ikawa dhambi au sio dhambi anyway sjui vyevyote itakavyokuwa ila Hakuna mwanaume ambae ana mwanamke mmoja ni vile tu tunawaheshimu hamjui na tukichepuka haimaanishi hatuwapend ni ule uhitaj tu sisi tunao mkubwa mwanaume mwenye mke mmoja mchunguze vzur huo ndo ukwel mchungu hampend kuskia

Na tunaumia na nyinyi mkichepuka na tunajaribu kutengeneza vikwazo ilo swala kwenu lionekane lina uzito mfano mwanamke mwenye wanaume wengi ni Malaya kwa wanaume ndo anaonekana mjanja.. Kwa sababu pia sisi ni selfish Note hilo tunapenda kumiliki tena peke yetu plus na huu mfumo dume uliopo

Sometimes tunaweza hoji ila ndo hvyo hatuwez badilisha kitu haya mambo yapo since beginning of the time maybe millennium or centuries kadhaa zikipita kutakuwa na changes kidogo ila sidhani well hatuwezi jua mda huo tutakuwa fossil



Human beings
A selfish hairless ape
Mh umejua kuelezea
 
Dah aisee
Firstly Naona unajaribu kurudi kulekule according to your religion aliumbiwa mwanamke mmoja

Secondly hio hai justify point yako in Islamic religion Adam pia aliumbiwa mwanamke mmoja still wanaruhusiwa kuwa na wanawake wanne

Thirdly hio sio hoja ya kusapoti hio point yako maana kuna dini nyengine hazimjui Adam na zinaamini ziko sahihi ni mtazamo wao na Mimi nina mtazamo wangu
 
Mengi mnoo
Mfano Kama Baha'i, Buddhism, Christianity, Confucianism / Chinese Tradional, Hinduism, Islam, Jainism, Judaism, Shinto, Sikhism, Taoism, and Zoroastrianism.

Yanayoongoza kuwa na wafuasi ni haya
Estimation ni kama

1. Christianity ~2.1 billion
2. Islam ~1.5 billion
3. Hinduism ~900 million
4. Chinese Traditional ~394 million
5. Buddhism ~376 milli

Na kila mtu dini yake ni yakweli according to yeye
Vyema. ,
 
Kabisa mkuu, it's very risky kuingia katika ndoa bila kumjua mwenzako kunako. Hasara itakuwa kubwa endapo mambo hayataenda mlivyofikiria.
Lakin ndo maana hospital zikawepo kurekeb Sha kasoro brother
 
Kimtazamo wako pia kulingana na jamii na dini yako kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni tabia mbaya au kitu kibaya

Lakni kumbuka tabia (behavior) is the actions and mannerisms made by individuals, organisms ,
systems or artificial entities in conjunction with themselves or their environment,

Kwa hyo definition fupi lazima tuwe na maono tofauti kiuhalisia kuhusu jambo na kitu Fulani wewe unaona kitu Fulani ni tabia mbaya isiyofaa kweny jamii kwao wanaona ni sahihi

Mfano waislamu wanaona sawa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja we unaona sio sawa Jibu hatuwezi kuwa na uhalisia sawa kuhusu jambo Fulani unless utetee kile unachokiamini wewe
Perfect facts
 
hivi jamaa bado tu unatamani bikra? kwa mwendo huu wa awamu ya tano mabaharia wenyewe kutwa kuwinda hao heheh utawapata ila bikra sio issue ni akili ya mwanamke tu akielewa nitulie na mmoja katika ndoa atatulia ila na wewe uwe unajuhudi kweli kweli sio kumpaka shombo
Ila bikra n heshima mkuu
 
Kwa misingi ipi??

Na je vipi zile dini au tamaduni ambazo zinaruhusu mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja??
Kwa misingi ya dini yao


Kuhusu hizo tamaduni siwezi sema kitu Kama jamii yao imeruhusu na wanaona ni kawaida mi ni Nani niwakosoe niwanyooshee mkono Kwan Mimi mwema? Najuaje
 
Back
Top Bottom