Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

Me naona kufanya kabla ya ndoa ni poa haiwezekani niuziwe mbuz kweny kiroba tena ingekua vema ukest kabisa km anazaa pia mana sio waowa tasa
 
Bado huja weka faida zake. Zaid ya kuhamasishwa uzinzi.em fafanua tuelewe faida za kufanya kbla ya ndoa
 
Back
Top Bottom