Kuna faida gani kuishi muda mrefu?

Kuna faida gani kuishi muda mrefu?

Angalia hii...
 

Attachments

  • Screenshot_20190503-220131.png
    Screenshot_20190503-220131.png
    33.8 KB · Views: 24
Umewaza mbali sana ndugu. Ni wazo fikirlshi hili. Na mie nasubiri majibu
Kwa mfano mtu aliyekufa akiwa na miaka 50, mwingine akafa na miaka 80. Baada ya wote kufa...watakuwa wanafaida au hasara gani?
 
Kuishi zaidi ya miaka 90 ni mateso tu, kwa hakuna unacho enjoy maishani
 
Ni hivi watu wanaogopa kifo siyo kwasababu wanayapenda sana maisha bali kwasababu ya vitisho vilivyokithiri kuhusu kifo.
 
Namba tatu ndiyo ya muhimu kuliko zote
Kuishi muda murefu kunafaida ila kwa ratio kama ulizoweka hizo.

1) muda mrefu unapata muda wa kustuka na kumrudia mungu endapo mungu akikujaaria.

2)kula mafanikio yako, kwa mtu kama mengi faida kwasababu anaspend mafanikio yake.

3)kupata muda mrefu wa kuwawekea misingi na utaratibu watoto wako.
 
Simaanishi faida kwa watu waliobaki, ila faida kwa wale waliokufa. Yaani aliyekufa na 40 na aliyekufa na 80 baada ya kufa nani ana faida na nani ana hasara na ni zipi?
Umesoma kweli nilichoandika.
 
Kwa mfano mtu aliyekufa akiwa na miaka 50, mwingine akafa na miaka 80. Baada ya wote kufa...watakuwa wanafaida au hasara gani?
Kuishi kwingi ni kuina mengi.... GaDem'it...[emoji51][emoji51]
 
Mhubiri aliuliza hili swali mwisho akajijibu mwenyewe kwa kusema, "NI UBATILI MTUPU!"

Maisha hayana maana wala faida yoyote
 
Back
Top Bottom