SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Nusu nizimie kwa furaha,kumbe ni post ya kitambo
Duh
Nusu nizimie kwa furaha,kumbe ni post ya kitambo
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
Prof. Kabudi is one of the best we have sio kwenye sheria, bali kwenye kujieleza kisheria.Kabudi hana misimamo
Mtu wa kufuata upepo
Mfano ameyumba kwenye issue ya katiba mpya
Utawala Wa Visasi
Prof. Kabudi is one of the best we have sio kwenye sheria, bali kwenye kujieleza kisheria.
P.
Ngeleja anapeta hadi sasa
Mupe muruke
Ova
Mupe muruke shida yako wee mzungu sana!Lost in translation!!!
Mupe muruke shida yako wee mzungu sana!
Mupe muruke maana yake "kuna watu fulani wanapata na wengine hawapati "
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mimi ni mmatumbi na sina chembe yoyote ya uzungu bana