Kuna dalili zote... nitaisaliti ndoa yangu usiku wa leo.................!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Nimefika Zanzibar jioni hii, nipo huku kwa kazi maalum ambapo nimeungana na Binti wa Kizulu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kutoka makao makuu ya kampuni yetu nchini Afrika Kusini.........!
Usiku huu tunapata Dinner lakini hiyo mikao yake na kivazi alichovaa.................Mweh!
 
Jaribu kukumbuka kiapo ulichoapa kanisani. Anyway pete unayo kidoleni?
Pete ya ndoa sijavaa kidole kina fangasi........................
Ndio nipo nipo naye hapa naendela kukemea pepo mbaya wa ngono asije niingia maana binti mwenyewe anafakamia AMARULA kama hana akili nzuri
 
Huu ni ujinga na upumbavu, mtu yuko na mambo Yake ushaanza waza ngono, Hana hata time nawe, Haya tumeshajua Upo Zanzibar kikazi na unafanya kazi na mzulu, so what? Jaribu tu kuwaza Mangono yako ufalme moto ukimwagwa!

QUOTE=Mtambuzi;3917955]Nimefika Zanzibar jioni hii, nipo huku kwa kazi maalum ambapo nimeungana na Binti wa Kizulu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kutoka makao makuu ya kampuni yetu nchini Afrika Kusini.........!
Usiku huu tunapata Dinner lakini hiyo mikao yake na kivazi alichovaa.................Mweh![/QUOTE]
 
Pete ya ndoa sijavaa kidole kina fangasi........................
Ndio nipo nipo naye hapa naendela kukemea pepo mbaya wa ngono asije niingia maana binti mwenyewe anafakamia AMARULA kama hana akili nzuri
Mhh hapo kazi unayo na labda kwa akili yake anajua uko single ndiyo maana anajimwaga ukamchetue.
 
Nimefika Zanzibar jioni hii, nipo huku kwa kazi maalum ambapo nimeungana na Binti wa Kizulu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kutoka makao makuu ya kampuni yetu nchini Afrika Kusini.........!
Usiku huu tunapata Dinner lakini hiyo mikao yake na kivazi alichovaa.................Mweh!

Kweli Mtambuzi leo umenichekesha!!!!

1.0 Hujapiga ngoma ndogo ndogo ukajua kama toto la kizulu limeingia line au laaaah!!!!

2.0 Wewe ni bingwa wa ushauri nasaha lakini leo ubataka kusaliti ndoa unabandika uzi!!!!! Watu watashangaa mpaka basi na kukuomba ubadili nia jambo ambalo kama kweli umedhamilia litakuwa kikwazo.

3.0 Kwa jinsi ulileta uzi unakushushia hadhi kwa wewe si fisi maji original.

Ghairi nia bana mkumbuke mama watoto kama unaona bado pepo linakuja mkumbuke mtoto wakk mmoja unayempenda halafu uone kama ndiyo unamuaga kwa uzembe wako.
 
Shetani humwingia hata mtumishi wa Mungu seuze mie mshauri nasaha...........! Hapa napigana kufa na kupona ili kuayashinda haya majaribu........... Yaani naomba Mungu hiki Kikombe kiniepuke nikalale salama kesho nirudi Dar........
salama salimini
 
mshahara wa dhambi ni mauti,ikimbie zinaa,yaani ni aibu iliyoje kwa wanao kuwa baba yao ni mzinzi asiyemheshimu mama yao,acha bwana kwani utatumia dakika ngapi!kwani hyo raha unakaa nayo muda gani?
 
Back
Top Bottom