Kuna dalili zote... nitaisaliti ndoa yangu usiku wa leo.................!

Duh, mtoto kama wa ukweli sana hakuna haja ya dawa ya penzi. Kwanza hawanaga ukimwi...
Hata kama wana Ukimwi Mzee Zuma aliwahi kushauri kwamba, ukipiga tu, fasta unaenda kunawa..........Hupati Ukimwi wala nini..........
Lakini kwa kweli leo, nimepambana na IBILISI Live..............hapa ni mwendo wa kukemea tu..... naomba mnisaidie maombi tu jamani..................
 
Unaniangusha kaka, mi nikajua next post location itakuwa juu ya kifua?
 
Nimefika Zanzibar jioni hii, nipo huku kwa kazi maalum ambapo nimeungana na Binti wa Kizulu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kutoka makao makuu ya kampuni yetu nchini Afrika Kusini.........!
Usiku huu tunapata Dinner lakini hiyo mikao yake na kivazi alichovaa.................Mweh!

Mtambuzi mwenzio nimechekelea nikajua umeamua kutoa simulizi za Ijumaa leo kumbe ni mambo ya kuvunja amri za Mungu banaaa aaahhh we hiyo ipige chini tu itakuletea ukakasi.
 
Last edited by a moderator:
Ikawa jioni,usiku wa giza.....na alfajiri inajongea....je shetani ana nguvu au ameshindwa??
 
Hivi pete ya ndoa nayo inazuia watu wasijiingize katika usaliti kwa ndoa zao ati. Hahahahahah

mkuu pete ya ndoa kwa maana yake halisi ni ishara ya uaminifu. Ukiona mtu kaivaa juwa anaonesha uaminifu na mapenzi kwa mwenza wake achilia mbali machizi wa siku hizi wanaovaa kama urembo.
 
Mtambuzi, nasubiri matokeo kwa hamu.
Ile dinner imezaa chochote au na wewe umekuwa nyoka wa maonesho anayekula unga tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom