Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kitenge mbona hakukimbia na kuamua kumkabili yule mpuuzi!? Walio chini yake wana kila sababu ya kusikia vilio vya Watanzania na kuamua kumkoromea huyu dikteta uchwara kwamba anaiangamiza nchi.

 

Afanyejeili nchi ikae sawa?..tusaidie
 
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga


Acha Kutisha Watu P.u.n.d.a Wewe, Unazani Watu Wanaogopa Kunyea Debe Kwa Kwenye Kusema Ukweli
 
Reactions: BAK
Hizo mamlaka za maji washindwaje kulipa bili za umeme hali wanakusanya mapato ya maji?
Hawa wanautani kwenye mambo ya msingi
 
Ni vitu vya ajabu mno!! Halafu una kuta jitu zima linasema hapa kazi tu!!! Kwa style hii tutawapa lawama nyingi sana watendaji kumbe sio wao!! Sasa ni ONE MAN SHOW!!! Hatuwezi fika but time will tell.
 

we ngiri nani kakuambia idadi ya watu ndio inayochangia kuwa na huduma nzuri? nchi ngapi zina watu wengi kuliko sisi na tunaona huduma za kijamii zikitolewa vizuri.
 
duh kwa kweli hali mbaya sana mkulu ajiangalie na kujitathmini pia hawa wazee wamekaa tu.

tanzania kubwa kichwa kile ni kidogo so hawez kutuendesha kama maboga
 
Hizo mamlaka za maji washindwaje kulipa bili za umeme hali wanakusanya mapato ya maji?
Hawa wanautani kwenye mambo ya msingi
Mkuu kama ungejua kinachoendelea usingesema hivyo!! Mfano mamlaka moja ya maji wamesema wanadaiwa na tanesco 1.3 bilioni, wakati wao wanazidai taasisi za serikali milioni 700!!!hapo nani wakulaumiwa?? Tatizo serikali inakusanya pesa kuzigawia wizara inakuwa inshuuu bajeti ni tarakimu tu!!
 
Jenga hoja yako vzr lakini usihusishe suala la kulipia madeni ya Umeme na kuporomoka kwa uchumi. Kifupi madeni haya yalikuwepo kabla ya JPM na kama uimara wa Uchumi ktk makampuni husika ilitokana na kutolipa umeme, maana yake ni kwamba uchumi ulishuka toka zamani ndio maana walishindwa kulipia huo Umeme.
Kwa nini hatuangalii suala la malimbikizo kama matumizi mabaya ya fedha na Ufisadi..? Tusisahau kuwa budget ya kulipia Umeme imekuwa ikitengwa lakini hailipwi..zinaenda wapi?
Ni vema wakakatiwa ili wajifunze Ustaarabu wa kutumia kwa vipaumbele
 
I
I think you're living in another planet bro.
 
I

I think you're living in another planet bro.
Kimsingi nakubali kuwepo kwa changamoto kiuchumi..
Ninachopinga ni issue ya kutumia asasi kukatiwa Umeme kama kipimo cha mdororo wa uchumi, toa mifano mingine.
 
Du kweli raisi ajielewi amebakia kichwa kubwa mawazo finyu
 
Kimsingi nakubali kuwepo kwa changamoto kiuchumi..
Ninachopinga ni issue ya kutumia asasi kukatiwa Umeme kama kipimo cha mdororo wa uchumi, toa mifano mingine.
Pamoja na changamoto zote za kiuchumi nchi hii iliyopata toka serikali ya awamu ya kwanza mpaka hii tano sijawahi kusikia Jamii inakatiwa maji ama hospital inakatiwa umeme. Hoja yangu kusema nchi imefilisika ni baada ya kuona serikali imeshindwa kutoa Huduma hizi. Wananchi wanapotoa kodi hizi huduma za kwanza zinazotakiwa kutolewa na serikali. Tanesco ni mali ya serikali na Wizara ya maji ni mali ya serikali.
Serikali ya awamu ya tano imefanya mengi mazuri lakini katika uchumi total failure.
 
Kusema ukwel ni kitendo cha kushangaza sana ikiwa nchi na ukubwa wake ikiyumbushwa na mtu ni aibu ikiwa nchi inawatu wasopungua million 50!.
 
Umeongea point sana mtu mmoja kaumiza watu mil 50 ***** kabisaa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…