Kuna dada kaniambia "I love you"

I like you=Hii inatumika kuonesha kwamba unampenda mtu ila ule upendo usiyo husisha hsisia za kimapenzi,kama unapenda uwepo wake n.k

I love you=Hii inatumika baina ya watu wenye hisia za kimapenzi kwamba unampenda lakini upendo wenu umechukua hatua nyengine ya kutaka hadi kuonganisha nyuchi.



JIONGEZE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kula maini mzeeee unakwama wapi ?

Ila kumbuka kubeba zana za vitani
ngoja wataalam wa haya mambo waje maana mie nilishaacha kutongoza miaka Zaidi ya 10 nyuma. Toka huduma za uuzaji mbunye zilipoanza TZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom