wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
Pole sana mkuu. Kwa kipindi hiki kama una uwezo hama maeneo ya Kimara mpaka barabara itakapokamilikawadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
kimara hali sio nzuriii na hadi strabag wamalize shughuli yao,wananchi watakuwa washateseka vya kutoshaPole sana mkuu. Kwa kipindi hiki kama una uwezo hama maeneo ya Kimara mpaka barabara itakapokamilika
kimara hali sio nzuriii na hadi strabag wamalize shughuli yao,wananchi watakuwa washateseka vya kutosha
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
mkuu si mchezo ndo naitafuta Baruti nipo maeneo ya Rombo
sa hizi sio sa saba mzee mada yako inaoneka imeletwa sa 12 asb
Rekebisha system time yako kwenye profile yako ya JF, utakuwa unatumi time zone tofauti na ya +3GMT