Kuna binti nataka nimuingize mtegoni

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
ee bwana uyu mtoto wa kike katokea kunivutia zaidi ya miaka mitatu sasa kaja kunkubali july 2017 sasa naona mapenzi yamekuwa moto saivi!

idea yangu ni kumuoa, ila kutokana na shuguli yangu ya kutokukaa sehemu moja nataka niharibu na kuibadili saikolojia ya huyu binti!

idea ya kwanza nataka nimfanye aape kwamba atakuwa na mimi siku zote na icho kiapo ntaitreat design ya yeye kuji attach kwangu na mimi sio kuji attach kwake!

kwakuwa yeye ni mtu wa dini sana nataka niitumie hio dini na biblia yake kujiapisha kwangu na kwakua anaamini katika viapo i hope the deal will be done ili nimuoe na asinikimbie kirahisi!

sasa wana mipango na ma intelijensia wenzangu will this plan work?
 
ee bwana uyu mtoto wa kike katokea kunivutia zaidi ya miaka mitatu sasa kaja kunkubali july 2017 sasa naona mapenzi yamekuwa moto saivi!

idea yangu ni kumuoa, ila kutokana na shuguli yangu ya kutokukaa sehemu moja nataka niharibu na kuibadili saikolojia ya huyu binti!
Mbona kama habari yako mkuu haija jitosheleza.
 
Usijaribu kuweka kiapo! Bora utumie uongo wowote kumdanganyia!!

Viapo havijawahi kumuacha mtu salama!!
 
Kiapo ni habari nyingine asee.....siku ukizingua kitakupeleka mahali hujawahi fika
 
Kama unachotaka kukifanya unaona ni kizuri, kwanin na ww usiape?

Ya nini kumtafutia matatizo binti wa watu?

Ama kweli binadamu ni wa kujihadhari nae sana.
 
Back
Top Bottom